MWANAFUNZI ALIYEPEWA MIMBA RUKWA AHUKUMIW KIFUNGO CHA MIEZI SITA JELA

MWANAFUNZI ALIYEPEWA MIMBA RUKWA AHUKUMIW KIFUNGO CHA MIEZI SITA JELA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MWANAFUNZI ALIYEPEWA MIMBA RUKWA AHUKUMIW KIFUNGO CHA MIEZI SITA JELA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MWANAFUNZI ALIYEPEWA MIMBA RUKWA AHUKUMIW KIFUNGO CHA MIEZI SITA JELA
kiungo : MWANAFUNZI ALIYEPEWA MIMBA RUKWA AHUKUMIW KIFUNGO CHA MIEZI SITA JELA

soma pia


MWANAFUNZI ALIYEPEWA MIMBA RUKWA AHUKUMIW KIFUNGO CHA MIEZI SITA JELA

Mwananfunzi Aghata Mwananyau (19), aliyekatisha masomo akiwa kidato cha nne baada ya kupewa ujauzito, amehukumiwa kifungo cha miaka sita jela au kulipa faini ya shilingi 300,000.
Msichana huyo aliyekuwa akisoma katika Shule ya Sekondari ,kangale, katika Mji wa Namanyere, wilayani Nkasi Mkoa wa Rukwa, aliacha masomo baada ya kupewa ujauzito na Alfa Nestory (20).
Mshtakiwa huyo alishindwa kulipa faini hiyo ambapo ameanza kutumikia adhabu hiyo.
Juzi aliitwa na upande wa mashtaka kutoa ushahidi katika Mahakama ya Wilaya ya Nkasi, mbele ya Hakimu Ramadhani Rugemalira ambapo alitoa ushahidi wa uongo akisema aliyempatia ujauzito hakuwa mshtakiwa Nestory bali alikuwa ‘mmachinga’ aliyetokea Mbeya, tofauti na maelezo ya awali.
Ndipo Mwendesha Mashtaka, Hakimu Gwelo, alipomshtaki kwa kutoa ushahidi wa uongo, ambapo jana alifikishwa mahakamani hapo na alisomewa mashtaka hayo, na alikiri kutenda kosa hilo.
Akitoa hukumu, Hakimu Rugemalira, alisema amezingatia utetezi wa mshtakiwa kuwa apunguziwe adhabu kwa kuwa ana mtoto mchanga mwenye umri wa miezi nane.


Hivyo makala MWANAFUNZI ALIYEPEWA MIMBA RUKWA AHUKUMIW KIFUNGO CHA MIEZI SITA JELA

yaani makala yote MWANAFUNZI ALIYEPEWA MIMBA RUKWA AHUKUMIW KIFUNGO CHA MIEZI SITA JELA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MWANAFUNZI ALIYEPEWA MIMBA RUKWA AHUKUMIW KIFUNGO CHA MIEZI SITA JELA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/01/mwanafunzi-aliyepewa-mimba-rukwa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MWANAFUNZI ALIYEPEWA MIMBA RUKWA AHUKUMIW KIFUNGO CHA MIEZI SITA JELA"

Post a Comment