title : WAOMBOLEZAJI WAMIMINIKA NYUMBANI KWA MAREHEMU DKT. REGINALD MENGI, WAMMIMINIA SIFA LUKUKI
kiungo : WAOMBOLEZAJI WAMIMINIKA NYUMBANI KWA MAREHEMU DKT. REGINALD MENGI, WAMMIMINIA SIFA LUKUKI
WAOMBOLEZAJI WAMIMINIKA NYUMBANI KWA MAREHEMU DKT. REGINALD MENGI, WAMMIMINIA SIFA LUKUKI
Waombolezaji wamesema Mwenyekiti wa makampuni ya IPP marehemu Dkt. Reginald Mengi atakumbukwa na Watanzania wote kwa jinsi alivyojitoa maisha yake kwa ajili ya maisha ya wengine, hasa wanyonge na wenye mahitaji maalumu.
Wamesema hayo walipomiminika nyumbani kwa marehemu Kinondoni jijini Dar es salaam kutoa pole na rambirambi kwa wafiwa. Dkt. Mengi alifariki dunia mapema asubuhi ya Alhamisi akiwa Dubai kwenye matibabu.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda amesema wakati alipofika nyumbani hapo kwamba msiba wa Mengi ni mkubwa na umeligusa Taifa kutokana kwa kujitoa kwake katika kuisaidia jamii.
"Mzee Mengi alikubali kujitoa kwa watu maskini kwenye jamii ambapo aliahidi kuwajengea uwezo walemavu ili kuondokana na umaskini" amesema Makonda. "Matamanio yangu mazishi ya Mzee mengi watu wajitokeze kwa wingi ili kumuenzi mzee wetu huyu."
Mkuu huyo wa mkoa amesema baada ya ratiba ya mazishi kufahamika kutoka kwa wanafamilia angependa watu wajitokeze kwa wingi kumpa marehemu upendo na heshima anayostahili.
Kwa upande wake Mwenyekiti wa CHADEMA Mhe. Freeman Mbowe amesema kifo cha Dkt. Mengi ni pigo kwa taifa na itakuwa vigimu kumpata mtu kama huyo kirahisi.
Akizungumza nyumbani hapo, Mhe. Mbowe amesema ndugu wa karibu wa familia ndio wanaanza kufika hivyo taratibu nzima kuhusiana na msiba huu zitatolewa baadae"
Mhe Mbowe amesema Marehemu Mzee Mengi alikuwa mtu wa watu wote na kwamba alijali sana walemavu, wanamichezo pamoja na tasnia nzima ya mambo ya habari.
"Kwa niaba ya wanachi wa Moshi,wanachama wa vyama vyote hasa wanachama wa wa chadema pamoja na watanzania wote nitoe pole kwa walioguswa na msiba huu.
"Niwaambie tu itachukua miaka muda mrefu kuziba pengo aliloacha Mzee Mengi kwani alikuwa mdau wa uwekezaji aliyejali wanyonge na kuondoka kwake ni pigo kubwa kwa Taifa"amesema.
Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam,Paul Makonda akiwasili kwenye Msiba wa Mwenyekiti wa kampuni za IPP Regnaldi Mengi nyumbani kwa marehemu Kinondoni jijini Dar es salaam.
Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe akizungumza na waandishi wa habari leo alipofika kufariji wafiwa nyumbani kwa Dkt Regnaldi Mengi Kinondoni kufwatia kifo cha Mwenyekiti huyo aliefariki usiku wakuamkia Mei 2,2019 dubai.(Picha na Emmanuel Massaka wa Michuzi Tv)
Mwanasheria wa familia,Michael Ngalu akizungumz na waandishi wa habari ambapo amesema kwa sasa maandalizi yanaendelea na kwamba taarifa za msiba zitatolewa kesho mchana.
Wanahabari wakiwa katika majukumu yao nyumbani kwa Dkt Regnaldi Mengi Kinondoni jijini Dar es Salaam.(Picha na Emmanuel Massaka wa Michuzi Tv)
Hivyo makala WAOMBOLEZAJI WAMIMINIKA NYUMBANI KWA MAREHEMU DKT. REGINALD MENGI, WAMMIMINIA SIFA LUKUKI
yaani makala yote WAOMBOLEZAJI WAMIMINIKA NYUMBANI KWA MAREHEMU DKT. REGINALD MENGI, WAMMIMINIA SIFA LUKUKI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WAOMBOLEZAJI WAMIMINIKA NYUMBANI KWA MAREHEMU DKT. REGINALD MENGI, WAMMIMINIA SIFA LUKUKI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/05/waombolezaji-wamiminika-nyumbani-kwa.html





Kwa karibu mwaka mmoja, mume wangu aliniacha mimi na watoto wetu wawili. Aliacha kujali, akaacha kupiga simu, na akaondoka kabisa. Nilikuwa nimevunjika moyo, nimechanganyikiwa, na karibu kupoteza tumaini. Kisha siku moja, rafiki yangu aliniambia kuhusu Dkt. Dawn, mtu wa kiroho aliyepewa kipawa na ulimwengu ili kuwasaidia watu kurejesha upendo na amani.
ReplyDeleteMwanzoni, nilikuwa na shaka, lakini kitu kuhusu maneno yake kilinipa amani. Aliniambia haswa kilichokuwa kibaya na kwamba mtu alikuwa ametupa uchawi mkali kututenganisha. Aliandaa kazi maalum ya kiroho na uchawi wa kuungana tena kwa ajili yangu - na ndani ya siku chache, mume wangu alinipigia simu ghafla, akilia na kuomba msamaha.
Tangu wakati huo, maisha yangu hayajawahi kuwa sawa. Ndoa yetu sasa ni tamu na yenye furaha zaidi duniani. Tunapendana zaidi kuliko hapo awali, na nyumba yetu imejaa vicheko na baraka.
Lakini sio hivyo tu - Dkt. Dawn pia alisaidia kuondoa bahati mbaya na nishati hasi iliyozunguka familia yetu. Tangu wakati huo, kila kitu kimekuwa laini: amani nyumbani kwetu, maendeleo ya kifedha, afya njema, na furaha safi.
Ninashukuru ulimwengu kila siku kwa kuniongoza kwa Dkt. Dawn. Kwa kweli ni mtu mwenye nguvu na mwanga wa kimungu. Ikiwa unapitia hali yoyote - huzuni, bahati mbaya, au kuchanganyikiwa - usikate tamaa. Mfikie na uache ulimwengu ufanye kazi kupitia yeye ili kubadilisha hadithi yako, kama vile alivyobadilisha yangu.
Wasiliana naye kwenye WhatsApp: +2349046229159
dawnacuna314@gmail.com