BREAKING NYUZZZZ...... MALKIA WA TEMBO NA WENZAKE WAWILI WATIWA HATIANI KESI YA MENO YA TEMBO

BREAKING NYUZZZZ...... MALKIA WA TEMBO NA WENZAKE WAWILI WATIWA HATIANI KESI YA MENO YA TEMBO - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa BREAKING NYUZZZZ...... MALKIA WA TEMBO NA WENZAKE WAWILI WATIWA HATIANI KESI YA MENO YA TEMBO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : BREAKING NYUZZZZ...... MALKIA WA TEMBO NA WENZAKE WAWILI WATIWA HATIANI KESI YA MENO YA TEMBO
kiungo : BREAKING NYUZZZZ...... MALKIA WA TEMBO NA WENZAKE WAWILI WATIWA HATIANI KESI YA MENO YA TEMBO

soma pia


BREAKING NYUZZZZ...... MALKIA WA TEMBO NA WENZAKE WAWILI WATIWA HATIANI KESI YA MENO YA TEMBO

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemtia hatiani raia wa China, Yang Feng Glan (66) maarufu kama Malkia wa tembo, na wenzake Wawili baada ya kuridhika na ushahidi uliotolewa na mashahidi kumi na moja upande wa mashtaka Katika mashitaka ya kujihusisha na biashara haramu ya meno ya tembo yenye thamani ya Sh. bilioni 13, kinyume cha sheria.

Mbali na Feng washtakiwa wengine waliotiwa hatiani ni,  wafanyabiashara raia wa Tanzania, Salvius Matembo na Philemon Manase, ambao wote walikuwa wakitetewa na mawakili Nehemia Nkoko na Hassan Kiangio.

Hukumu imeahirishwa baada ya dakika 30 ili washitakiwa wajitetee kabla ya kuhukumiwa. 

Hukumu hiyo inatarajiwa kutolewa na Hakimu Mkazi Mkuu, Huruma Shaidi.


Hivyo makala BREAKING NYUZZZZ...... MALKIA WA TEMBO NA WENZAKE WAWILI WATIWA HATIANI KESI YA MENO YA TEMBO

yaani makala yote BREAKING NYUZZZZ...... MALKIA WA TEMBO NA WENZAKE WAWILI WATIWA HATIANI KESI YA MENO YA TEMBO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala BREAKING NYUZZZZ...... MALKIA WA TEMBO NA WENZAKE WAWILI WATIWA HATIANI KESI YA MENO YA TEMBO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/02/breaking-nyuzzzz-malkia-wa-tembo-na.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "BREAKING NYUZZZZ...... MALKIA WA TEMBO NA WENZAKE WAWILI WATIWA HATIANI KESI YA MENO YA TEMBO"

Post a Comment