FAHAMU MAJINA YA WANAUME NA SIFA ZAO KATIKA MAPENZI..TAZAMA JINA LAKO KISHA UTUAMBIE KAMA UKO HIVYO

FAHAMU MAJINA YA WANAUME NA SIFA ZAO KATIKA MAPENZI..TAZAMA JINA LAKO KISHA UTUAMBIE KAMA UKO HIVYO - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa FAHAMU MAJINA YA WANAUME NA SIFA ZAO KATIKA MAPENZI..TAZAMA JINA LAKO KISHA UTUAMBIE KAMA UKO HIVYO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : FAHAMU MAJINA YA WANAUME NA SIFA ZAO KATIKA MAPENZI..TAZAMA JINA LAKO KISHA UTUAMBIE KAMA UKO HIVYO
kiungo : FAHAMU MAJINA YA WANAUME NA SIFA ZAO KATIKA MAPENZI..TAZAMA JINA LAKO KISHA UTUAMBIE KAMA UKO HIVYO

soma pia


FAHAMU MAJINA YA WANAUME NA SIFA ZAO KATIKA MAPENZI..TAZAMA JINA LAKO KISHA UTUAMBIE KAMA UKO HIVYO

 Related image
1. Andrew-mapenzi ya tamthiliya
2. Nicolas-muongo
3. Albert-domo zege ila mjanja mjanja

Image result for ngono kinyume na maumbile
4. Mathias-anapenda mwanamke kwa muda mrefu
5. Joseph/Josephat/yusuph-kicheche
6. Jeryson-anapenda mademu ila wanawake wanamkataa
7. Shadrack-anapenda sifa kwa mademu

Image result for agnes masogange
8. Richard-ana wapenzi wengi ila msiri
9. Mathew-anapendwa na wanawake ila domo zege
10. Thomas-anapendwa na mademu ila hajatulia
11. Prosper-hajui habari za mapenzi
12. Fidelis-mtaalam wa kutongozea mademu wenzie (kuwadi)
13. Aaron-maneno mengi ila vitendo sifuri

Image result for ngono kinyume na maumbile
14. Costantine-wanapenda kutongoza hovyo ingawaje wana mpenzi mwaminifu
15. Elvis-handsome ila hapendwi na mademu
16. Edward-serious sana kwenye mapenzi
17. Moses/Mussa-mwepesi kutongoza na mwepesi kuwacha
18. Ally/Elly-wasiri sana kwenye mapenzi

Related image
19. Mohammedy-anapenda watu waliomzidi umri
20. Nickson-wakiingia kwenye mapenzi wanatendwa vibaya
21. Alpha-wanapenda sifa kwa wanawake ili wapendwe
22. Jimmy-wana mapenzi ya kejeli

Related image
23. Elias-wanapenda mademu ila wanaogopa kuwaambia
24. Frank-huyu mpole wanawake wanajitongozesha wenyewe
25. Joachim-hana habari na mademu,anaamini ipo ataoa tu
26. Omary-anapenda achape tu atembee

Image result for agnes masogange
27. Steven-hana habari kabisa na wanawake ila ana bahati ya kupendwa
28. Gerald-mpole na antulia na mpenzi mmoja kwa mda mrefu
29. Elisha-anapenda wanawake wanaochukiwa katika jamii
30. Benard-akipenda kapenda
31. Juma-hawa kazi yao ni kuchafua wanawake wa mtaani na jamii inayozungukwa
32. Kassimu- anapend utukufu na kusifiwa hata na mkewe

Related image
33. Khalid -msumbufu na anapenda kupedwa kuliko kupenda wanawake
34. Daniel-anawivu sana mjanja na anapenda kujua mambo yaliyojuu ya uwezo wake.
35. Said-hajui kupenda na huwa anatamaa hasa kwa bint weupe.
36. Rajabu-mgumu kumuamin mwenza wake.

Image result for agnes masogange
37. David-Kupenda kujionesha mbele ya wanawake kwamba anauwezo mkubwa hata kama hana.
38. Farid-Mpenda wanawake warefu wenye mwanya na shepu.
39. Rama-hupenda kusikilizwa yeye tuu na anapenda wanawake wenye makalio makubwa hasa wanene.
40. Seleman-anapenda ngono.

Related image
41. Issa -huwa na msimamo hasa katika maamuzi yake hat kwa mwenza wake
42. Fadhili- vitu vyake ni vya siri saana na hata mwenza wake ni ngumu kujua
43. Charles -Hapend kudumu katika mahusiano na hupenda kuwa pek yake
44. Karimu- hupenda kuwa na wanawake weupe

Image result for agnes masogange
45. Laurence-hunyanyasika kwenye mahusiano hata huweza kulia hovyo
46. Masoud- anajua kujali na kuheshimu ndoa yake ila mkali sana.
47.Hamad-mpole pia hapend kutoa siri zake kwa mwenza wake pia hupend kunyenyekew na mpenz wake
48. Hasani -hupenda kupewa kuliko kutoa hata kwa wenza Wake.

Related image
49. Alen-hupenda kulaumu hata kwa jambo dogo na hupend wanawak weupe
50. Luka- wanapenda kwa mda ukijichanganya utaumia ukiwa nae.
51. Jafari- Hupenda wake za watu.


Hivyo makala FAHAMU MAJINA YA WANAUME NA SIFA ZAO KATIKA MAPENZI..TAZAMA JINA LAKO KISHA UTUAMBIE KAMA UKO HIVYO

yaani makala yote FAHAMU MAJINA YA WANAUME NA SIFA ZAO KATIKA MAPENZI..TAZAMA JINA LAKO KISHA UTUAMBIE KAMA UKO HIVYO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala FAHAMU MAJINA YA WANAUME NA SIFA ZAO KATIKA MAPENZI..TAZAMA JINA LAKO KISHA UTUAMBIE KAMA UKO HIVYO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/05/fahamu-majina-ya-wanaume-na-sifa-zao.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "FAHAMU MAJINA YA WANAUME NA SIFA ZAO KATIKA MAPENZI..TAZAMA JINA LAKO KISHA UTUAMBIE KAMA UKO HIVYO"

Post a Comment