Yahaya Makolija akabidhiwa mamilioni ya biko

Yahaya Makolija akabidhiwa mamilioni ya biko - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Yahaya Makolija akabidhiwa mamilioni ya biko, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Yahaya Makolija akabidhiwa mamilioni ya biko
kiungo : Yahaya Makolija akabidhiwa mamilioni ya biko

soma pia


Yahaya Makolija akabidhiwa mamilioni ya biko

Mkazi wa jijini Dar es Salaam, Yahaya Hassan Makolija, leo amekabidhiwa fedha zake jumla ya shilingi milioni 10 alizoshinda kwenye bahati nasibu ya Biko inayotesa katika viunga vya nchi yetu.

Makabidhiano hayo yamefanyika jijini Dar es Salaam na kuongozwa na Mratibu wa Matukio wa Biko Hassan Melles, ambapo katika droo ya jana Jumapili, wengine pia waliibuka na bodaboda na mamilioni kutoka Biko. 

Akizungumza katika makabidhiano hayo, Makolija aliishukuru Biko kwa kumkabidhi fedha zake akisema kuwa itamsaidia kwa kiasi kikubwa katika maisha yake ya kila siku.

Kucheza Biko sasa ni kuanzia sh 500 na sh 1000 na kuendelea, huku ushindi wake ukianzia sh 1000 hadi sh 100000 kwa watakaocheza sh 500 hadi sh 9500 wakati  watakaocheza kwa sh 1000 na kuendelea, mchezaji anaweza kujishindia zawadi ya papo kwa hapo kuanzia sh 5000 hadi sh milioni moja bila kusahau wote kuingia kwenye droo kubwa ya Jumatano na Jumapili.

Bahati nasibu ya Biko inachezwa kwa mitandao ya simu minne ambayo ni Tigo Pesa, M-Pesa, Artel Money na HaloPesa, ambapo namba ya Kampuni ni 505050 na kumbukumbu namba 2456, huku Watanzania wakiweza kujishindia zawadi kubwa katika droo ya Jumatano na Jumapili.
 Yahaya Makolija akiwa na shangwe kubwa baada ya kukabidhiwa sh million 10 alizoshinda kutoka kwenye droo kubwa ya Bahati nasibu ya Biko iliyofanyika juzi Jumapili jijini Dar es Salaam. Droo nyingine kubwa hufanyika kila Jumatano na Jumapili bila kusahau zawadi za papo kwa hapo zinazoenda kwa washindi kila wakati. 
Mshindi wa sh milioni 10 wa droo ya 182 wa bahati nasibu ya Biko, Yahaya Hassan Makolija, kulia akipokea fedha zake kwa furaha kubwa kutoka kwa Mratibu wa matukio wa Biko, Hassan Melles, katika makabidhiano yaliyofanyika jana jijini Dar es Salaam ikiwa siku moja tu baada ya kuibuka na ushindi kwenye droo iliyofanyika Jumapili, ambapo droo hizo kubwa hufanyika kila Jumatano na Jumapili.


Hivyo makala Yahaya Makolija akabidhiwa mamilioni ya biko

yaani makala yote Yahaya Makolija akabidhiwa mamilioni ya biko Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Yahaya Makolija akabidhiwa mamilioni ya biko mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/02/yahaya-makolija-akabidhiwa-mamilioni-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Yahaya Makolija akabidhiwa mamilioni ya biko"

Post a Comment