BABA AJIUA BAADA YA KUKOSA ADA YA KUMLIPIA MTOTO WAKE

BABA AJIUA BAADA YA KUKOSA ADA YA KUMLIPIA MTOTO WAKE - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa BABA AJIUA BAADA YA KUKOSA ADA YA KUMLIPIA MTOTO WAKE, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : BABA AJIUA BAADA YA KUKOSA ADA YA KUMLIPIA MTOTO WAKE
kiungo : BABA AJIUA BAADA YA KUKOSA ADA YA KUMLIPIA MTOTO WAKE

soma pia


BABA AJIUA BAADA YA KUKOSA ADA YA KUMLIPIA MTOTO WAKE


Tupo katika mwezi January, mwezi ambao shule hufunguliwa na wazazi wanakuwa na jukumu la kulipa ada ili watoto waende shule.

Sasa nikusogezee stori kutoka katika eneo la Githurai nchini Kenya ambapo mwanaume mwenye umri wa miaka 39 amejiua baada ya kushindwa kupata ada ya mtoto wake ili aanze kidato cha kwanza.

John Castrol Okombo aliandika ujumbe kabla ya kifo chake akieleza kuwa asingependa kuendelea kuwa hai huku akimuona mtoto wake akishindwa kwenda shule.

Taarifa iliyorushwa katika Television ya Citizen imemnukuu Okombo katika ujumbe huo akisema kwamba asingeweza kuishi na kumuona mtoto wake akishindwa kuendelea na masomo wakati kuna mtu alimtapeli  Ksh 759,000 ambayo ni zaidi ya Tshs Milioni 16 za Kitanzania.

Katika ujumbe huo, Okombo ameeleza  kuwa mtu aliyemtapeli anaitwa Oliver ambaye hajamlipa pesa zake kwa kipindi cha mwaka sasa.

Okombo alimuagiza Oliver kutuma pesa kwa mke wake ili ziweze kumsomesha mtoto wao pia alimuagiza mke wake kuuza shamba lao ili aweze kumlipia ada mwanafunzi huyo.


Hivyo makala BABA AJIUA BAADA YA KUKOSA ADA YA KUMLIPIA MTOTO WAKE

yaani makala yote BABA AJIUA BAADA YA KUKOSA ADA YA KUMLIPIA MTOTO WAKE Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala BABA AJIUA BAADA YA KUKOSA ADA YA KUMLIPIA MTOTO WAKE mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/01/baba-ajiua-baada-ya-kukosa-ada-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "BABA AJIUA BAADA YA KUKOSA ADA YA KUMLIPIA MTOTO WAKE"

Post a Comment