WABUNGE WATAKIWA KUUNGA MKONO JUHUDI ZA KUWASAIDIA WASICHANA WANAOPATA MIMBA SHULENI

WABUNGE WATAKIWA KUUNGA MKONO JUHUDI ZA KUWASAIDIA WASICHANA WANAOPATA MIMBA SHULENI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WABUNGE WATAKIWA KUUNGA MKONO JUHUDI ZA KUWASAIDIA WASICHANA WANAOPATA MIMBA SHULENI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WABUNGE WATAKIWA KUUNGA MKONO JUHUDI ZA KUWASAIDIA WASICHANA WANAOPATA MIMBA SHULENI
kiungo : WABUNGE WATAKIWA KUUNGA MKONO JUHUDI ZA KUWASAIDIA WASICHANA WANAOPATA MIMBA SHULENI

soma pia


WABUNGE WATAKIWA KUUNGA MKONO JUHUDI ZA KUWASAIDIA WASICHANA WANAOPATA MIMBA SHULENI

Na Humphrey Shao, Globu ya Jamii 

Mtandao wa Mashirika yanayopinga ndoa za utotoni wameitaka serikali kuweka mfumo madhubuti utakaowawezesha wanafuzni wa kike kuendelea kufurahia haki yao ya kupata elimu bora mara baada ya kujifungua.

Akitoa tamko hilo Mwenyekiti wa mtandao huo, Valerian Msoka amesema Serikali ,wabunge na wadau wengine kujikita katika kupambana na changamoto zinazopelekea mimba za utotoni ikiwemo ubovu wa miundombinu ya elimu kukosekana kwa elimu bora ya afya ya uzazi.

“Mtandao wa kupinga ndoa za utotoni unaamini kuwa Tanzania ina uongozi na wawakilishi wanaojali maslahi ya wananchi ambapo watoto wa kike ni miongoni mwa hao . Na ni kwa sababu hiyo mtandao una imani kuwa sauti yao itsikilizwa kwani wasichana hawa wanaopoteza masomo kutokana na mimba ni sehemu ya nguvu kazi muhimu ya msingi na yenye tija kufikia Tanzania ya Viwanda” amesema Msoka.

Msoka amemaliza kwa kusema kuwa utafiti wa kitaifa kuhusu Vichocheo na madhara ya ndoa za utotoni nchini Tanzania uliofanywa mwaka 2016 umebaini kuwa wasichana wana uelewa mdogo juu ya afya ya uzazi.
Mwenyekiti wa Mtandao wa kutetea wadada wadogo, Valerian Msoka 
Mwenyekiti wa Tamwa , Eda Sanga akizungumza juu ya kuwaomba wabunge kutunga sheria kuwasaidia watoto wanaopata mimba mashuleni 
Mkurugenzi wa Tawla nchini ,Tike Mwambipile akizungumza wakati wa kutoa tamko hilo .
Waandishi wa habari wakifatilia mkutano huo.




Hivyo makala WABUNGE WATAKIWA KUUNGA MKONO JUHUDI ZA KUWASAIDIA WASICHANA WANAOPATA MIMBA SHULENI

yaani makala yote WABUNGE WATAKIWA KUUNGA MKONO JUHUDI ZA KUWASAIDIA WASICHANA WANAOPATA MIMBA SHULENI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WABUNGE WATAKIWA KUUNGA MKONO JUHUDI ZA KUWASAIDIA WASICHANA WANAOPATA MIMBA SHULENI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/05/wabunge-watakiwa-kuunga-mkono-juhudi-za.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WABUNGE WATAKIWA KUUNGA MKONO JUHUDI ZA KUWASAIDIA WASICHANA WANAOPATA MIMBA SHULENI"

Post a Comment