Bohari kuu wamuaga aliekuwa mkuu wa kitengo cha kusambaza dawa Zanzibar

Bohari kuu wamuaga aliekuwa mkuu wa kitengo cha kusambaza dawa Zanzibar - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Bohari kuu wamuaga aliekuwa mkuu wa kitengo cha kusambaza dawa Zanzibar, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Bohari kuu wamuaga aliekuwa mkuu wa kitengo cha kusambaza dawa Zanzibar
kiungo : Bohari kuu wamuaga aliekuwa mkuu wa kitengo cha kusambaza dawa Zanzibar

soma pia


Bohari kuu wamuaga aliekuwa mkuu wa kitengo cha kusambaza dawa Zanzibar

 Mkuu wa Utawala na Uendeshaji wa Bohari Kuu ya dawa Zanzibar akitoa maeleza ya utendaji kazi wa aliekuwa mfanyakazi wake Abdalla Suleiman aliemaliza muda wa utumishi Serikalini katika sherehe zilizofanyika  Ofisini kwao Maruhubi nje kidogo ya Mji wa Zanzibar.
 Aliekuwa mkuu wa Kitengo cha kusambaza dawa Zanzibar Abdalla Suleiman akiwa na mke wake Dkt. Aza Said wakimsikiliza Mkuu wa Utawala na Uendeshaji Bohari Kuu ya dawa katika sherehe za kumuaga zilizofanyika Maruhubi.

 Mkurugenzi Utumishi na Uendesha Wizara ya Afya Zanzibar Ramadhan Khamis Juma, aliekuwa mgeni rasmi katika sherehe hizo, akimpongeza  mstaafu Abdalla Suleiman kwa kukamilisha majukumu yake vizuri Serikalini.
 Aliekuwa Mkuu wa Kitengo cha kusambaza dawa Zanzibar Abdalla Suleiman akiwapa mkono wa kwaheri wafanyakazi wenzake katika sherehe za kumuaga, wa kwanza (kushoto) Mkurugenzi wa Bohari Kuu ya dawa Zahran Ali Hamad na (kati) Mkurugenzi Utumishi na Uendeshaji Wizara ya Afya Ramadhan Khamis Juma.
Picha ya pamoja ya mstaafu wa Bohari Kuu Abdalla Suleiman akiwa na mke wake Dkt. Aza Said (kulia) waliokaa na baadhi ya  wafanyakazi wa Bohari kuu ya dawa na Ofisi ya Mfamasia Mkuu katika sherehe za kumuaga zilizofanyika Bohari Kuu ya dawa Maruhubi.

Picha na Makame Mshenga.



Hivyo makala Bohari kuu wamuaga aliekuwa mkuu wa kitengo cha kusambaza dawa Zanzibar

yaani makala yote Bohari kuu wamuaga aliekuwa mkuu wa kitengo cha kusambaza dawa Zanzibar Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Bohari kuu wamuaga aliekuwa mkuu wa kitengo cha kusambaza dawa Zanzibar mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/05/bohari-kuu-wamuaga-aliekuwa-mkuu-wa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Bohari kuu wamuaga aliekuwa mkuu wa kitengo cha kusambaza dawa Zanzibar"

Post a Comment