title : MAJALIWA ASHIRIKI KATIKA DUA YA KUMSHUKURU MUNGU MKESHA WA MWAKA MPYA
kiungo : MAJALIWA ASHIRIKI KATIKA DUA YA KUMSHUKURU MUNGU MKESHA WA MWAKA MPYA
MAJALIWA ASHIRIKI KATIKA DUA YA KUMSHUKURU MUNGU MKESHA WA MWAKA MPYA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na ndugu, jamaa na marafiki waliofika nyumbani kwake katika kijiji cha Namahema wilayani Ruangwa , mkesha wa mwaka mpya kushiriki katika Dua ya kumshukuru Mungu kwa kuwajalia watanzania na viongozi wao kuumaliza salama mwaka 2018 na kumuomba Mungu aendelee kulilinda taifa letu na viongozi wake kwa mwaka 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na baadhi ya ndugu, jamaa na marafiki waliofika nyumbani kwake katika kijiji cha Namahema wilayani Ruangwa mkesha wa mwaka mpya, kushiriki katika Dua ya kumshukuru Mungu kwa kuwajalia watanzania na viongozi wao kuumaliza salama mwaka 2018 na kumuomba aendelee kulilinda taifa letu na viongozi wake kwa mwaka 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama saa wakati alipojumuika na ndugu, jamaa na marafiki waliofika nyumbani kwake katika kijiji cha Namahema wilayani Ruangwa mkesha wa mwaka mpya kushiriki katika Dua ya kumshukuru Mungu kwa kuwajalia watanzania na viongozi wao kuumaliza salama mwaka 2018 na kumuomba Mungu aendelee kulilinda taifa letu na viongozi wake kwa mwaka 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na ndugu, jamaa na marafiki waliofika nyumbani kwake katika kijiji cha Namahema wilayani Ruangwa , mkesha wa mwaka mpya kushiriki katika Dua ya kumshukuru Mungu kwa kuwajalia watanzania na viongozi wao kuumaliza salama mwaka 2018 na kumuomba Mungu aendelee kulilinda taifa letu na viongozi wake kwa mwaka 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Hivyo makala MAJALIWA ASHIRIKI KATIKA DUA YA KUMSHUKURU MUNGU MKESHA WA MWAKA MPYA
yaani makala yote MAJALIWA ASHIRIKI KATIKA DUA YA KUMSHUKURU MUNGU MKESHA WA MWAKA MPYA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MAJALIWA ASHIRIKI KATIKA DUA YA KUMSHUKURU MUNGU MKESHA WA MWAKA MPYA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/01/majaliwa-ashiriki-katika-dua-ya.html
0 Response to "MAJALIWA ASHIRIKI KATIKA DUA YA KUMSHUKURU MUNGU MKESHA WA MWAKA MPYA"
Post a Comment