title : Mkurugenzi mkuu SOS azindua mradi wa vyoo skuli ya Michenzani Wilaya ya Mkoani
kiungo : Mkurugenzi mkuu SOS azindua mradi wa vyoo skuli ya Michenzani Wilaya ya Mkoani
Mkurugenzi mkuu SOS azindua mradi wa vyoo skuli ya Michenzani Wilaya ya Mkoani
MKURUGENZI Mtendaji wa Taasisi isiyo ya kiserikali Tanzania (SOS) Anatoli Rugaimukamu akizindua mradi wa vyoo viwili vyenye matundu 10 vya skuli ya Michezani Wilaya ya Mkoani vilivyogharimu zaidi ya Milioni 14.(PICHA NA ABDI SULEIMAN,PEMBA)
WANAFUNZI wa Skuli ya Msingi na Sekondari Michenzani Wilaya ya Mkoani, wakimsikiliza kwa makini mkurugenzi mtendaji wa SOS Tanzania, wakati alipokuwa akizungumza na wanafunzi hao.(PICHA NA ABDI SULEIMAN,PEMBA)
MRATIB wa Sera na Mipango kutoka Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar, Ramla Abass Farahan akizungumza na wanafunzi wa skuli ya Msingi na Sekondari Michenzani Wilaya ya Mkoani Pemba.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
MKURUGEZNI Mtendaji wa Taasisi isiyo ya kiserikali Tanzania (SOS) Anatoli Rugaimukamu akizungumza na wanafunzi wa skuli ya Sekondari na Msingi Michenzani Wilaya ya Mkoani, mara baada ya kufungua mradi wa
vyoo kwa skuli hiyo livyogharimu zaidi ya Milioni 14.(PICHA NA ABDI SULEIMAN,PEMBA)
Hivyo makala Mkurugenzi mkuu SOS azindua mradi wa vyoo skuli ya Michenzani Wilaya ya Mkoani
yaani makala yote Mkurugenzi mkuu SOS azindua mradi wa vyoo skuli ya Michenzani Wilaya ya Mkoani Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Mkurugenzi mkuu SOS azindua mradi wa vyoo skuli ya Michenzani Wilaya ya Mkoani mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/05/mkurugenzi-mkuu-sos-azindua-mradi-wa.html
0 Response to "Mkurugenzi mkuu SOS azindua mradi wa vyoo skuli ya Michenzani Wilaya ya Mkoani"
Post a Comment