title : KAULI YA RAIS MAGUFULI BAADA YA TAIFA STARS KUIFUNGA TIMU YA TAIFA YA UGANDA...RIDHIWANI ATUMA MAOMBI MAALUM
kiungo : KAULI YA RAIS MAGUFULI BAADA YA TAIFA STARS KUIFUNGA TIMU YA TAIFA YA UGANDA...RIDHIWANI ATUMA MAOMBI MAALUM
KAULI YA RAIS MAGUFULI BAADA YA TAIFA STARS KUIFUNGA TIMU YA TAIFA YA UGANDA...RIDHIWANI ATUMA MAOMBI MAALUM
Na Said Mwishehe,Globu ua jamii
MBUNGE wa Jimbo la Chalinze mkoani Pwani Ridhiwani Kikwete amemetuma maombi maalumu kwa Rais Dk.John Magufuli baada ya kumshauri aseme chochote kutokana na ushindi ambao wa mabao 3-0 ambao timu ya Tanzania ' Taifa Stars' dhidi ya timu ya Taifa ya Uganda.
Wakati Ridhiwani akimuomba Rais Magufuli kusema chochote,akizungumza kutoka Ikulu jijini Dar es Salaam baada ya mpira kumalizika Rais amesema ushindi wa Taifa Stars ni heshima kwa Tanzania na kwamba leo ameona mpira.
"Kwa ushindi ambao wameupata vijana wetu wa timu ya Taifa kuna kila sababu mtani wangu Rais Dk.Magufuli kusema chochote ili wapiga kura roho zetu zipoe.Ni ushindi mkubwa na tumeandika histori na kubwa zaidi heshima kwa nchi yetu," amesema Ridhiwani.
Hata hivyo Rais Magufuli amezungumzia mchezo huo na kubwa zaidi ametoa pongezi kwa wachezaji kwa mpira ambao wameuonesha na hakika amefurahi sana kwani mpira aliokuwa akitamani kuuona leo ameuona.
"Ni heshima kubwa kwa nchi yetu,hongereni wachezaji,hongereni wote ambao mmefanikisha ushindi .Kwanu nimefurahi sana na leo nilisema sitaenda uwanjani ili niuone hapa hapa Ikulu.
"Ni heshima kubwa kwa nchi yetu," amesema Rais Magufuli huku akieleza matokeo ya Lesotho na Cape Verde nayo yamemfurahisha kwani yameivusha Tanzania kwenda Misri,"amesema Rais Magufuli.
Hivyo makala KAULI YA RAIS MAGUFULI BAADA YA TAIFA STARS KUIFUNGA TIMU YA TAIFA YA UGANDA...RIDHIWANI ATUMA MAOMBI MAALUM
yaani makala yote KAULI YA RAIS MAGUFULI BAADA YA TAIFA STARS KUIFUNGA TIMU YA TAIFA YA UGANDA...RIDHIWANI ATUMA MAOMBI MAALUM Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala KAULI YA RAIS MAGUFULI BAADA YA TAIFA STARS KUIFUNGA TIMU YA TAIFA YA UGANDA...RIDHIWANI ATUMA MAOMBI MAALUM mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/03/kauli-ya-rais-magufuli-baada-ya-taifa.html
0 Response to "KAULI YA RAIS MAGUFULI BAADA YA TAIFA STARS KUIFUNGA TIMU YA TAIFA YA UGANDA...RIDHIWANI ATUMA MAOMBI MAALUM"
Post a Comment