title : MAMBO YA SOKO LA KIMATAIFA LA SAMAKI LA FERI JIJINI DAR ES SALAAM LEO
kiungo : MAMBO YA SOKO LA KIMATAIFA LA SAMAKI LA FERI JIJINI DAR ES SALAAM LEO
MAMBO YA SOKO LA KIMATAIFA LA SAMAKI LA FERI JIJINI DAR ES SALAAM LEO
Wafanyabiashara wa Samaki katika soko la Samaki la kimataifa Feri wakiendelea na shughuli zao mbalimbali katika soko hilo leo jijini Dar es Salaam.(Picha na Emmanuel Massaka,MMG).
Mchuuzi wa Samaki wa soko la Samaki feri akimkata kata samaki aina ya Songoro kwa ajili ya kupeleka mtaani kuuzwa.
Wajasilimali katika Soko kuu la samaki la kimataifa Feri jijini Dar es Salaam wakitayarisha Samaki kwa lengo la kuwauza kwa wateja mbalimbali watakao fika katika soko hilo.
Wafanyabiashara wa Samaki wa soko la Samaki la kimataifa Feri wakipara Samaki
Hivyo makala MAMBO YA SOKO LA KIMATAIFA LA SAMAKI LA FERI JIJINI DAR ES SALAAM LEO
yaani makala yote MAMBO YA SOKO LA KIMATAIFA LA SAMAKI LA FERI JIJINI DAR ES SALAAM LEO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MAMBO YA SOKO LA KIMATAIFA LA SAMAKI LA FERI JIJINI DAR ES SALAAM LEO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/02/mambo-ya-soko-la-kimataifa-la-samaki-la.html
0 Response to "MAMBO YA SOKO LA KIMATAIFA LA SAMAKI LA FERI JIJINI DAR ES SALAAM LEO"
Post a Comment