RAIS WA MSUMBIJI AISHUKURU TANZANIA KWA MISAADA YA DAWA NA CHAKULA - Hallo rafiki
WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa RAIS WA MSUMBIJI AISHUKURU TANZANIA KWA MISAADA YA DAWA NA CHAKULA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts
makala afya,
makala biashara,
makala general,
makala hobby,
makala karibuni info,
makala michezo,
makala siasa,
makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.
title :
RAIS WA MSUMBIJI AISHUKURU TANZANIA KWA MISAADA YA DAWA NA CHAKULAkiungo :
RAIS WA MSUMBIJI AISHUKURU TANZANIA KWA MISAADA YA DAWA NA CHAKULA
RAIS WA MSUMBIJI AISHUKURU TANZANIA KWA MISAADA YA DAWA NA CHAKULA
 |
|
 |
Rais wa Msumbiji, Mhe. Filipe Nyusi na Wananchi wake wamemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli na Wananchi wa Tanzania kwa kuwa miongoni mwa nchi za mwanzo kabisa kutoa misaada ya Madawa, Magodoro na vyakula kwa watu wa Msumbiji walioathirika na kimbunga.
Kimbunga kilichopita katikati ya Jamhuri ya Msumbiji kilicho anza tarehe 14 Machi 2019, kimesababisha madhara makubwa katika mji wa Beira ambao ni wa tatu kwa ukubwa na wa pili kibiashara baada ya Maputo.
Upepo uliambatana na mvua uling'oa miti, mapaa ya nyumba za mabati na vigae na kuvunja madirisha ya vioo bila huruma katika mji huo.
Kufuatia janga hilo ambalo limezikumba pia nchi za Malawi na Zimbabwe, Rais Magufuli alitangaza kutoa msaada wa haraka ambapo ndege kubwa za JWTZ zilipeleka misaada hiyo kama inavyoonekana katika picha.
Mjini wa Beira na wilaya za jirani ziko kwenye uwanda wa tambarale. Mji huo pia una mito miwili mikubwa inayoingia katika bahari ya Hindi na hiyo ndiyo sababu ya mara kwa mara unakabiliwa na mafuriko.
Tanzania inaomba Mungu mvua zipungue kwa majirani hao ili waweze kuidhibiti hali hii ya mafuriko inayoendelea sasa baada ya Kimbunga kupita.
Mji wa Beira umeharibika vibaya ambapo asilimia 97 ya majengo, miundombinu, na mali za wananchi zimeathiriwa na kimbunga hicho.
Balozi wa Tanzania nchini Msumbiji, Mhe. Rajab Luhwavi ambaye alipokea shukrani hizo kwa niaba ya Serikali ameihakikishia Msumbiji kuwa, Tanzania itaendelea kushirikiana na nchi hiyo kwa hali na mali.
Aidha, Mhe. Balozi ametoa pongezi kwa Mhe. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Prof. Palamagamba John Kabudi, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki na wadau wengine kwa kufanikisha msaada huo.
Imetolewa na:
Kitengo cha Mawasiliano ya Serikali,
Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki,
Dodoma, Tarehe 24 Machi 2019
|
Hivyo makala RAIS WA MSUMBIJI AISHUKURU TANZANIA KWA MISAADA YA DAWA NA CHAKULA
yaani makala yote RAIS WA MSUMBIJI AISHUKURU TANZANIA KWA MISAADA YA DAWA NA CHAKULA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala RAIS WA MSUMBIJI AISHUKURU TANZANIA KWA MISAADA YA DAWA NA CHAKULA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/03/rais-wa-msumbiji-aishukuru-tanzania-kwa.html
Related Posts :
Siasa : Wagombea kuweni Makini kwenye nafasi zenu - Dk. Dallo
Na Woinde Shizza,Arusha
Wagombea wa nafasi mbalimbali za ungozi ndani ya chama cha mapinduzi wilaya wa Arusha wametakiwa kufuata kanun… Read More...
Habari :Msipotumia Fursa Zilizopo Tanga Wageni Watazitumia-Dkt. Mwakyembe
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe akiongeza wakati wa ufunguzi wa Jukwaa la Fursa za Kibiashsra … Read More...
WAZIRI JENISTA, NAIBU WAZIRI DKT. KALEMANI WAZINDUA MRADI WA USAMBAZAJI UMEME VIJINI REA III KWA KUGAWA VIFAA VYA UMEME TAYARI (READY BOARD MKOANI RUVUMAMwambawahabari
Waziri
wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, (Sera, Bunge, Ajira, Kazi, Vijana na Watu Wenye Ulemavu),
Mhe.Jenista Mhagama, akik… Read More...
Matukio :Uzinduzi wa Mkutano wa Sita wa Watafiti barani Afrika wafanyika jijini Dar
Na Agness Francis,Blogu ya jamii.
Katika kuelekea Tanzania ya viwanda awamu ya tano ipo fursa ya kushirikiana na nchi mbali mbali ili … Read More...
Tehama : Sababu za kuanza 'Ku-Blogu' kuhusu sehemu Unazotembelea
Na Jumia Travel Tanzania
Miongoni mwa tasnia zinazokua kwa kasi sasa hivi nchini Tanzania ni uandishi wa mtandaoni au blogu. Kuenea na u… Read More...
0 Response to "RAIS WA MSUMBIJI AISHUKURU TANZANIA KWA MISAADA YA DAWA NA CHAKULA"
Post a Comment