title : Watuhumiwa wa ujambazi wauawa Jijini Mwanza
kiungo : Watuhumiwa wa ujambazi wauawa Jijini Mwanza
Watuhumiwa wa ujambazi wauawa Jijini Mwanza
Watu watatu wanaodhaniwa kuwa ni majambazi wameuawa na Jeshi la Polisi Mkoa Mwanza katika Mtaa wa Nyakabungo, Kata ya Isamilo Jijini Mwanza, usiku wa kuamkia leo Februari 06, 2019.
Kaimu Kamanda wa Polisi mkoani Mwanza, Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP), Advera Bulimba amesema miili ya watu hao imehifadhiwa katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Mwanza Sekou Toure kwa ajili ya utambuzi na kwamba katika tukio hilo, inadhaniwa watuhumiwa wengine watatu walifanikiwa kutoroka.
Na George Binagi, BMG
Hivyo makala Watuhumiwa wa ujambazi wauawa Jijini Mwanza
yaani makala yote Watuhumiwa wa ujambazi wauawa Jijini Mwanza Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Watuhumiwa wa ujambazi wauawa Jijini Mwanza mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/02/watuhumiwa-wa-ujambazi-wauawa-jijini.html
0 Response to "Watuhumiwa wa ujambazi wauawa Jijini Mwanza"
Post a Comment