WATUMISHI 6 WASIMAMISHWA KAZI KWA TUHUMA YA UBADHIRIFU WA FEDHA ARUSHA

WATUMISHI 6 WASIMAMISHWA KAZI KWA TUHUMA YA UBADHIRIFU WA FEDHA ARUSHA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WATUMISHI 6 WASIMAMISHWA KAZI KWA TUHUMA YA UBADHIRIFU WA FEDHA ARUSHA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WATUMISHI 6 WASIMAMISHWA KAZI KWA TUHUMA YA UBADHIRIFU WA FEDHA ARUSHA
kiungo : WATUMISHI 6 WASIMAMISHWA KAZI KWA TUHUMA YA UBADHIRIFU WA FEDHA ARUSHA

soma pia


WATUMISHI 6 WASIMAMISHWA KAZI KWA TUHUMA YA UBADHIRIFU WA FEDHA ARUSHA

 
Waziri wa Elimu sayansi mafunzo na ufundi profesa Joyce ndalichako


Na. Vero Ignatus Arusha

Waziri wa Elimu sayansi mafunzo na ufundi profesa Joyce ndalichako amewasimamisha kazi watumishi sita wa chuo cha ualimu Patandi kwa tuhuma ya ubadhirifu wa fedha

Profesa Ndalichako amesema kuwa zaidi ya shilingi milioni 2.5 zilizotengwa na serikali kwaajili ya ujenzi na ukarabati wa miundombinu ya chuo hicho imetumika visivyo.Waliosimamishwa kazi ni pamoja Israel Mayage kutoka chuo kikuu cha sayansi na teknonojia mbeya ambae awali alikuwa msimamizi wa mradi shule hiyo, mhasulibu Rose Kijaka na mwenyekiti wa kamati ya mapokezi Peter Mosha

Wengine ni kaimu chuo cha Patandi Isaac myovela, Ofisa manunuzi na ugavi Charles Njarabi na Hendry Malei ambaye alihamishiwa chuo cha Monduli, pia ameagiza mkuu chuo cha Patandi Janesi Mmbaje abadilishiwe majukumu kwasababu za kiafya

Waziri Ndalichako amechukua hatua hiyo mara baada ya kutembelea shuleni hapo kukagua mradi wa majengo licha ya taarifa kuonyesha umechelewa kukamilika bila Sababu ya msingi huku.thamani ya fedha inapingana na hali halisi na pia ubora wake.Amemuagiza Katibu mkuu wa wizara hiyo Dkt. Leonard Akwilapo Kupeleka watendaji wengine wakati uchunguzi ukiendelea kufanyika naendapo ikithibitika sheria itachukua mkondo wake

Mimi ninachotaka kujua hayo malori 170 yalimwagwa wapi na hiyo mifuko ya saruji 6520 ipo wapi na hadi sasa imetumikaje. Aliuliza profesa NdalichakoAmesema katika ziara yake amebaini fedha zilizotumika katika ujenzi huo ni shilingi milioni 990 ambapo amesisitiza kuwa fedha hiyo ni nyingi kuliko hali halisi ya ujenzi

Mkuu wa wilaya ya Arumeru Jerry Muro amewataka wale wote waliopo kwenye kamati ya ujenzi ukiondoa wale ambao wameondolewa wanakutana leo kupitia mambo yote yaliyosalia ili waweze kuwapokea wanafunzi tarehe 7 feb 2019 
.
Shule ya sekondari ni Patandi ni ya wanafunzi wenye ulemavu mbalimbali nchi nzima ikimalizika itachukua watoto 640 na itakuwa na vifaa vya kisasa ambavyo watavitumia kwaajili ya kujifunzia


Hivyo makala WATUMISHI 6 WASIMAMISHWA KAZI KWA TUHUMA YA UBADHIRIFU WA FEDHA ARUSHA

yaani makala yote WATUMISHI 6 WASIMAMISHWA KAZI KWA TUHUMA YA UBADHIRIFU WA FEDHA ARUSHA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WATUMISHI 6 WASIMAMISHWA KAZI KWA TUHUMA YA UBADHIRIFU WA FEDHA ARUSHA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/02/watumishi-6-wasimamishwa-kazi-kwa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WATUMISHI 6 WASIMAMISHWA KAZI KWA TUHUMA YA UBADHIRIFU WA FEDHA ARUSHA"

Post a Comment