MUDA WA KUMUONESHA TRAFIKI LESENI NI MPAKA SIKU TATU KAMA UMESIMAMISHWA NA HUNA.

MUDA WA KUMUONESHA TRAFIKI LESENI NI MPAKA SIKU TATU KAMA UMESIMAMISHWA NA HUNA. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MUDA WA KUMUONESHA TRAFIKI LESENI NI MPAKA SIKU TATU KAMA UMESIMAMISHWA NA HUNA., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MUDA WA KUMUONESHA TRAFIKI LESENI NI MPAKA SIKU TATU KAMA UMESIMAMISHWA NA HUNA.
kiungo : MUDA WA KUMUONESHA TRAFIKI LESENI NI MPAKA SIKU TATU KAMA UMESIMAMISHWA NA HUNA.

soma pia


MUDA WA KUMUONESHA TRAFIKI LESENI NI MPAKA SIKU TATU KAMA UMESIMAMISHWA NA HUNA.

Na Bashir Yakub. 

Kusimamishwa na trafiki barabarani, na ukawa huna leseni mfukoni kwa muda huo sio kosa. Mwambie huyo trafiki kuwa hilo sio kosa. Sheria inatutaka kutembea na leseni tunapoendesha vyombo vya moto, lakini pia haisemi kuwa utakapokuwa hauna pale unapoombwa na trafiki basi ni kosa. 

Tunaongelea Sheria ya Usalama Barabarani, Sura ya 168. Wapo watu wameandikiwa faini kisa wameombwa leseni wakasema hawana, au wakasema wamezisahau majumbani. Hawa waliotozwa faini katika mazingira kama haya wameonewa. Na wanastahili kurudishiwa fedha walizotoa haraka. 

Ni kweli kifungu cha 77 cha Sheria ya Usalama Barabarani kinamtaka kila mwendesha chombo cha moto kutembea na leseni barabarani. Ni kweli askari anayo mamlaka kumsimamisha mwendesha chombo cha moto. Na ni kweli pia kuwa askari anayo mamlaka ya kumtaka mwendesha chombo cha moto aoneshe leseni yake. Lakini sio kweli hata kidogo kuwa mwendesha chombo cha moto asipoonesha leseni kwa wakati huo basi tayari ametenda kosa. Sio kweli. 

Kifungu cha 77(1) cha Sheria ya Usalama Barabarani kinasema kuwa mtu hatatiwa hatiani, kwa maana ya kulipa faini au kuandikiwa kosa au kuadhibiwa na chombo chochote ikiwamo mahakama, kwasababu tu hakubeba, au hakutoa/kuonesha leseni pale alipotakiwa kufanya hivyo, isipokuwa ana siku tatu za kutoa au kuonesha leseni hiyo tokea siku hiyo aliposimamishwa. 




Hivyo makala MUDA WA KUMUONESHA TRAFIKI LESENI NI MPAKA SIKU TATU KAMA UMESIMAMISHWA NA HUNA.

yaani makala yote MUDA WA KUMUONESHA TRAFIKI LESENI NI MPAKA SIKU TATU KAMA UMESIMAMISHWA NA HUNA. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MUDA WA KUMUONESHA TRAFIKI LESENI NI MPAKA SIKU TATU KAMA UMESIMAMISHWA NA HUNA. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/01/muda-wa-kumuonesha-trafiki-leseni-ni.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "MUDA WA KUMUONESHA TRAFIKI LESENI NI MPAKA SIKU TATU KAMA UMESIMAMISHWA NA HUNA."

Post a Comment