title : WAZIRI WA UTALII AFUNGUA NYUMBA YA WALIMU ZANZIBAR
kiungo : WAZIRI WA UTALII AFUNGUA NYUMBA YA WALIMU ZANZIBAR
WAZIRI WA UTALII AFUNGUA NYUMBA YA WALIMU ZANZIBAR
Waziri wa Habari Utalii na Mambo ya Kale Mahmoud Thabit Kombo akiwa pamoja na Mshirika wa Maendeleo Mkurugenzi Mkuu wa DSTV Jacqueline Woiso wakikata utepe kuashiria ufunguzi wa Nyumba ya Walimu Kizimkazi Mkunguni Mkoa wa Kusini Unguja ikiwa ni Shamra shamra za miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Waziri wa Habari Utalii na Mambo ya Kale Mahmoud Thabit Kombo kushoto akimkabidhi Mshirika wa Maendeleo Mkurugenzi Mkuu wa DSTV Jacqueline Woiso zawadi ya Cheti maalum katika ufunguzi wa Nyumba ya Walimu Kizimkazi Mkunguni Mkoa wa Kusini Unguja ikiwa ni Shamra shamra za miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Nyumba ya Walimu wa Skuli ya Kizimkazi Mkunguni Mkoa wa Kusini Unguja iliofunguliwa na Waziri wa Habari Utalii na Mambo ya Kale Mahmoud Thabit Kombo ikiwa ni Shamra shamra za miaka 55 ya mapinduzi ya Zanzibar.
Waziri wa Habari Utalii na Mambo ya Kale Mahmoud Thabit Kombo akisalimiana na Mshirika wa Maendeleo Mkurugenzi Mkuu wa DSTV Jacqueline Woiso mara baada ya kuwasili katika Ufunguzi wa Nyumba ya Walimu Kizimkazi Mkunguni Mkoa wa Kusini Unguja ikiwa ni Shamra shamra za miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar
Waziri wa Habari Utalii na Mambo ya Kale Mahmoud Thabit Kombo kushoto akimkabidhi Mshirika wa Maendeleo Mkurugenzi Mkuu wa DSTV Jacqueline Woiso zawadi ya Cheti maalum katika ufunguzi wa Nyumba ya Walimu Kizimkazi Mkunguni Mkoa wa Kusini Unguja ikiwa ni Shamra shamra za miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Waziri wa Habari Utalii na Mambo ya Kale Mahmoud Thabit Kombo akitoa hotuba ya ufunguzi wa Nyumba ya Walimu katika ufunguzi wa Nyumba ya Walimu Kizimkazi Mkunguni Mkoa wa Kusini Unguja ikiwa ni Shamra shamra za miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar.Waziri wa Habari Utalii na Mambo ya Kale Mahmoud Thabit Kombo akitoa hotuba ya ufunguzi wa Nyumba ya Walimu katika ufunguzi wa Nyumba ya Walimu Kizimkazi Mkunguni Mkoa wa Kusini Unguja ikiwa ni Shamra shamra za miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Hivyo makala WAZIRI WA UTALII AFUNGUA NYUMBA YA WALIMU ZANZIBAR
yaani makala yote WAZIRI WA UTALII AFUNGUA NYUMBA YA WALIMU ZANZIBAR Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI WA UTALII AFUNGUA NYUMBA YA WALIMU ZANZIBAR mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/01/waziri-wa-utalii-afungua-nyumba-ya.html
0 Response to "WAZIRI WA UTALII AFUNGUA NYUMBA YA WALIMU ZANZIBAR"
Post a Comment