title : SIMBA YAVUNJA REKODI.
kiungo : SIMBA YAVUNJA REKODI.
SIMBA YAVUNJA REKODI.
Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Bara, Simba, wamevunja rekodi waliyoiweka msimu uliopita katika Ligi Kuu Bara baada ya kucheza michezo 14 ya kwanza.
Msimu uliopita Simba baada ya kucheza michezo 14, ilikuwa imejikusanyia pointi 32 ambazo msimu huu imezivuka. Hivi sasa timu hiyo ina pointi 33 katika mechi 14.
Kwa upande wa mabao ya kufunga, katika mechi 14 ambazo ni sawa na za msimu uliopita, Simba hivi sasa inayo 28
wakati msimu uliopita ilikuwa nayo 31.
Katika kupoteza, hivi sasa imepoteza mechi moja na msimu uliopita ilikuwa haijapoteza. Mabao ya kufungwa, msimu uliopita ilikuwa imefungwa mabao sita, lakini msimu huu wameimarisha safu yao ya ulinzi na wamefungwa mabao matano.
Kwa upande wa nafasi, msimu uliopita kipindi kama hiki Simba walikuwa wanaongoza ligi, lakini kwa sasa wapo nafasi ya tatu.
Hivyo makala SIMBA YAVUNJA REKODI.
yaani makala yote SIMBA YAVUNJA REKODI. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala SIMBA YAVUNJA REKODI. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/01/simba-yavunja-rekodi.html
0 Response to "SIMBA YAVUNJA REKODI."
Post a Comment