title : UFUNGUZI WA NYUMBA YA WALIMU WAFANYIKA ZANZIBAR
kiungo : UFUNGUZI WA NYUMBA YA WALIMU WAFANYIKA ZANZIBAR
UFUNGUZI WA NYUMBA YA WALIMU WAFANYIKA ZANZIBAR
Waziri wa Habari Utalii na Mambo ya Kale Mahmoud Thabit Kombo akiwa pamoja na Mshirika wa Maendeleo Mkurugenzi Mkuu wa DSTV Jacqueline Woiso wakikata utepe kuashiria ufunguzi wa Nyumba ya Walimu Kizimkazi Mkunguni Mkoa wa Kusini Unguja ikiwa ni Shamra shamra za miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Waziri wa Habari Utalii na Mambo ya Kale Mahmoud Thabit Kombo kushoto akimkabidhi Mshirika wa Maendeleo Mkurugenzi Mkuu wa DSTV Jacqueline Woiso zawadi ya Cheti maalum katika ufunguzi wa Nyumba ya Walimu Kizimkazi Mkunguni Mkoa wa Kusini Unguja ikiwa ni Shamra shamra za miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Mshirika wa Maendeleo Mkurugenzi Mkuu wa DSTV Jacqueline Woiso akitoa hotuba kuhusiana na namna alivyosaidia kumaliza kwa Nyumba ya Walimu katika Ufunguzi wa Nyumba hio Kizimkazi Mkunguni Mkoa wa Kusini Unguja ikiwa ni Shamra shamra za miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Waziri wa Habari Utalii na Mambo ya Kale Mahmoud Thabit Kombo akitoa hotuba ya ufunguzi wa Nyumba ya Walimu katika ufunguzi wa Nyumba ya Walimu Kizimkazi Mkunguni Mkoa wa Kusini Unguja ikiwa ni Shamra shamra za miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Nyumba ya Walimu wa Skuli ya Kizimkazi Mkunguni Mkoa wa Kusini Unguja iliofunguliwa na Waziri wa Habari Utalii na Mambo ya Kale Mahmoud Thabit Kombo ikiwa ni Shamra shamra za miaka 55 ya mapinduzi ya Zanzibar.
PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR. Nyumba ya Walimu wa Skuli ya Kizimkazi Mkunguni Mkoa wa Kusini Unguja iliofunguliwa na Waziri wa Habari Utalii na Mambo ya Kale Mahmoud Thabit Kombo ikiwa ni Shamra shamra za miaka 55 ya mapinduzi ya Zanzibar.
Hivyo makala UFUNGUZI WA NYUMBA YA WALIMU WAFANYIKA ZANZIBAR
yaani makala yote UFUNGUZI WA NYUMBA YA WALIMU WAFANYIKA ZANZIBAR Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala UFUNGUZI WA NYUMBA YA WALIMU WAFANYIKA ZANZIBAR mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/01/ufunguzi-wa-nyumba-ya-walimu-wafanyika.html
0 Response to "UFUNGUZI WA NYUMBA YA WALIMU WAFANYIKA ZANZIBAR"
Post a Comment