MSANII NGULI AFARIKI DUNIA

MSANII NGULI AFARIKI DUNIA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MSANII NGULI AFARIKI DUNIA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MSANII NGULI AFARIKI DUNIA
kiungo : MSANII NGULI AFARIKI DUNIA

soma pia


MSANII NGULI AFARIKI DUNIA



Msanii nguli wa filamu wa Marekani, Kristoff St. John (52) amefariki dunia baada ya mwili wake kukutwa nyumbani kwake huko San Francisco, usiku wa Februari 2, 2019.

Kristoff ambaye alishawahi kuwekwa kwenye hospitali ya watu wenye matatizo ya akili baada ya kujaribu kujiua kwa bunduki, alipata umaarufu mkubwa kwa kuigiza kwenye filamu, ambazo alianza kujihusisha nazo akiwa na miaka nane tu.

Mpaka sasa chanzo cha kifo chake hakijajulikana, ila polisi wa Francisco wameshuku huenda ikawa ni kuzidisha madawa, yaliyosababisha kifo chake.

Star huyo ameshawahi kuigiza kwenye filamu mbali mbali zikiwemo That’s My Mama, Wonder Woman, Roots, The Next Generation, na nyinginezo nyingi.

Star huyo hivi karibuni alimchumbia mchumba wake Kseniya Olegovna Mikhaleva, na walitarajia kufunga ndoa ndani ya mwaka huu.


Hivyo makala MSANII NGULI AFARIKI DUNIA

yaani makala yote MSANII NGULI AFARIKI DUNIA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MSANII NGULI AFARIKI DUNIA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/02/msanii-nguli-afariki-dunia.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MSANII NGULI AFARIKI DUNIA"

Post a Comment