title : WABUNGE WA EALA WATOA ELIMU YA MTANGAMANO WA EAC
kiungo : WABUNGE WA EALA WATOA ELIMU YA MTANGAMANO WA EAC
WABUNGE WA EALA WATOA ELIMU YA MTANGAMANO WA EAC
Mwenyekiti wa Wabunge wa Tanzania katika Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Abdallah Makame na Katibu wake, Mhe. Josephene Sabastian wakiwa katika kikao na Wbunge wenzzao wa Tanzania, maafisa kutoka Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Bunge la EALA na Trade Mark East Africa katika Hoteli ya Serena. Mkutano huo ni maandalizi ya zoezi la siku nne la kutoa elimu kwa wadau mbalimbali kuhusu fursa za Mtangamano wa Jumuiya ya Afrika Mashariki kuanzaia tarehe 04 hadi 07 Februari 2019 jijini Dar Es Salaam.
Mhe. Habib Mnyaa, Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mhe. Marym Ussi wakishiriki kikoa cha maandalizi ya zoezi la kutoa elimu kuhusu Mtangamano wa Jumuiya ya Afrika Mashariki.
Mhe. Pamela Maasay (kulia) na Mhe. Happiness Legiko wakifjiandaa kukutana na wadau mbalimbali kwa ajili ya kutoa elimu ya Mtangamano.
Maafisa kutoka Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki ambao Wizara yao ndio mratibu w mauala ya Mtangamano wakiwa katika kikao cha maandalizi cha kutoa elimu ya Mtangamano wa Jumuiya ya Afrika Mashariki.
Maafisa kutoka Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki wakiwa katika kikao cha maandalizi ya zoezi la kutoa elimu kuhusu Mtangamano wa Jumuiya ya Afrika Mashariki.
Mhe. Dkt. Abdallah Makame akitoa maelekezo kwa Afisa kutoka Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki wa dawati la Bunge.
Kikao kinaendelea
Mkutano wa Waandishi wa Habari
Waheshimiwa Wabunge wakiwa katika mkutano na waandishi wa habari kuwaeleza zoezi walilopanga la kuelimisha wadau kuhusu Mtangamano wa Jumuiya ya AAfrika Mashariki.
Waandishi wamefurika kusikiliza Wabunge wa Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki kuhusu zoezi la kuelimisha wadau kuhusu Mtangamano wa Jumuiya ya Afrika Mashariki.
Waheshimiw wabunge (kushoto) na wandihi w habari wkiendelea na mkutano wao.
Bandari ya Dar Es Salam
Kaimu Mkurugenzi wa Bandari ya Dar Es Salaam akiwakaribisha Wabunge wa EALA katika Bandari ya Dar Es Salaam. Waheshimiwa Wabunge walienda Bandari ya Dar Es Salaam kuona maboresho yanayofanywa na bandari hiyo pamoja na kusikiliza wadau wanotumia bandari hiyo changamoto wanaokutana nazo.
Waheshimiwa Wabunge walienda kutembelea gati namba moja ambalo ni moja ya mageti ynayofnyiwa maboresho makubwa.
Siku ya Kuzaliwa
Mheshimiwa Maryam akisherehekea Siku yake ya kuzaliwa tarehe 04 Februari kwa kuwalisha keki Wabunge wenzake.
Happy Birthday kwa Mhe. Maryam Ussi kutoka kwa Mhe. Fancy Nkuhi.
Hivyo makala WABUNGE WA EALA WATOA ELIMU YA MTANGAMANO WA EAC
yaani makala yote WABUNGE WA EALA WATOA ELIMU YA MTANGAMANO WA EAC Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WABUNGE WA EALA WATOA ELIMU YA MTANGAMANO WA EAC mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/02/wabunge-wa-eala-watoa-elimu-ya_5.html
0 Response to "WABUNGE WA EALA WATOA ELIMU YA MTANGAMANO WA EAC"
Post a Comment