title : BEI YA MATUNDA SOKO LA MABIBO
kiungo : BEI YA MATUNDA SOKO LA MABIBO
BEI YA MATUNDA SOKO LA MABIBO
Na Chalila Kibuda, Globu ya jamii
WAFANYABIASHARA wa matunda katika Soko la Mabibo jijini Dar es Salaam wamelezea bei mbalimbali za matunda wanayouza kwa wateja wao sokoni hapo.
Wakizungumza na Michuzi Blog jijini Dar es Salaam wafanyabiashara hao wametaja bei ya kila tunda na wanalouza.Bei hizo ni kama zinavyoonesha hapa.
Bei ya Nanasi katika Soko la Mabibo linauzwa kati shilingi. 500 hadi shilingi 2000/=
Bei ya Embe sokoni hapo ni kati ya Shilingi 400 hadi Shilingi 600.
Bei ya Embe ndogo ni Shilingi 300 hadi Shilingi 400 katika soko hilo.
Bei ya Tikitikiti maji ni kati ya Shilingi 700 hadi Shilingi 2500.
Bei ya Ndizi Mbivu inauzwa kati ya Shilingi 150 hadi Shilingi 160 kwa bei ya jumla na rejareja.
Bei ya Boga linauzwa kati ya Shilingi 1500 hadi shilingi 3500 kwa bei ya jumla na rejareja.
Hivyo makala BEI YA MATUNDA SOKO LA MABIBO
yaani makala yote BEI YA MATUNDA SOKO LA MABIBO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala BEI YA MATUNDA SOKO LA MABIBO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/01/bei-ya-matunda-soko-la-mabibo_18.html
0 Response to "BEI YA MATUNDA SOKO LA MABIBO"
Post a Comment