KOCHA MPYA WA SIMBA KUSHUHUDIA MTANANGE WA LEO

KOCHA MPYA WA SIMBA KUSHUHUDIA MTANANGE WA LEO - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa KOCHA MPYA WA SIMBA KUSHUHUDIA MTANANGE WA LEO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : KOCHA MPYA WA SIMBA KUSHUHUDIA MTANANGE WA LEO
kiungo : KOCHA MPYA WA SIMBA KUSHUHUDIA MTANANGE WA LEO

soma pia


KOCHA MPYA WA SIMBA KUSHUHUDIA MTANANGE WA LEO

Klabu ya Simba inayo furaha kubwa kuwajulisha Wanachama na washabiki wake kwamba imempata kocha wake mkuu mpya, Mfaransa Pierre Lechantre.

Kocha huyo mzoefu ataanza kazi mara moja na atasaidiwa na kocha msaidizi wa sasa Masoud Djuma ambae alikuwa akikaimu nafasi hiyo

Kocha Lichantre keshawahi kufundisha vilabu kadhaa duniani kikiwemo kikosi cha Timu ya Taifa ya Cameroun kilichotwaa ubingwa wa Africa 2000.
Kocha huyo pia alipata kuwa kocha bora wa Afrika mwaka 2001 na pia barani Asia mwaka 2012.

Lechantre amekuja pia na kocha wa viungo Mmorocco Mohammed Aymen Hbibi

Na leo jioni kocha Lechantre ataishuhudia Simba ikicheza na Singida United kwenye Uwanja wa Taifa.

IMETOLEWA NA 
HAJI S MANARA
MKUU WA HABARI SIMBA SC 
SIMBA SC NGUVU MOJA


Hivyo makala KOCHA MPYA WA SIMBA KUSHUHUDIA MTANANGE WA LEO

yaani makala yote KOCHA MPYA WA SIMBA KUSHUHUDIA MTANANGE WA LEO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala KOCHA MPYA WA SIMBA KUSHUHUDIA MTANANGE WA LEO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/01/kocha-mpya-wa-simba-kushuhudia-mtanange.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "KOCHA MPYA WA SIMBA KUSHUHUDIA MTANANGE WA LEO"

Post a Comment