title : MAKAMU WA RAIS ANEDELEA NA ZIARA YAKE HAI,AMSABAHI BIBI SIFAELI KUNDASHUMA
kiungo : MAKAMU WA RAIS ANEDELEA NA ZIARA YAKE HAI,AMSABAHI BIBI SIFAELI KUNDASHUMA
MAKAMU WA RAIS ANEDELEA NA ZIARA YAKE HAI,AMSABAHI BIBI SIFAELI KUNDASHUMA
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Bibi Sifaeli Kundashuma ambaye ni mmoja walioshiriki katika tukio la kuchanganya mchanga wakati wa Muungano wa Tanzanyika na Zanzibar.Makamu wa Rais yupo wilayani Hai kwa ziara ya kukagua na kuhamasisha shughuli za maendeleo. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais) .
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi mara baada ya kufungua wodi ya Wanawake katika hospitali ya wilaya ya Hai. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Hivyo makala MAKAMU WA RAIS ANEDELEA NA ZIARA YAKE HAI,AMSABAHI BIBI SIFAELI KUNDASHUMA
yaani makala yote MAKAMU WA RAIS ANEDELEA NA ZIARA YAKE HAI,AMSABAHI BIBI SIFAELI KUNDASHUMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MAKAMU WA RAIS ANEDELEA NA ZIARA YAKE HAI,AMSABAHI BIBI SIFAELI KUNDASHUMA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/11/makamu-wa-rais-anedelea-na-ziara-yake.html
0 Response to "MAKAMU WA RAIS ANEDELEA NA ZIARA YAKE HAI,AMSABAHI BIBI SIFAELI KUNDASHUMA"
Post a Comment