title : SPIKA WA BUNGE APOKEA MSAADA KWA AJILI YA HOSPITALI YA KONGWA
kiungo : SPIKA WA BUNGE APOKEA MSAADA KWA AJILI YA HOSPITALI YA KONGWA
SPIKA WA BUNGE APOKEA MSAADA KWA AJILI YA HOSPITALI YA KONGWA
Spika wa Bunge Mheshimiwa Job Ndugai akipokea mojawapo ya Mashine maalum ya kuwasaidia watoto wanaozaliwa kabla ya kufikisha miezi tisa iliyotolewa na Benki ya Diamond Tust kwa Hospitali ya Wilaya ya Kongwa jana. (Picha na Ofisi ya Bunge).
Spika wa Bunge Mheshimiwa Job Ndugai akitoa shukrani kwa Benki ya Diamond Tust mbele ya Waandishi wa Habari mara baada ya kupokea Mashine maalum ya kuwasaidia watoto wanaozaliwa kabla ya kufikisha miezi tisa iliyotolewa na Benki hiyo kwa Hospitali ya Wilaya ya Kongwa.
Spika wa Bunge Mheshimiwa Job Ndugai akisikiliza maelezo kutoka kwa mwanzilishi wa Taasisi ya Doris Mollel Foundation Ndg. Doris Mollel kuhusiana na picha inayoonyesha mtoto aliyezaliwa kabla ya muda wake. Taasisi hiyo ikishirikiana na Benki ya Diamond Trust walitoa msaada wa Mashine maalum ya kuwasaidia watoto wanaozaliwa kabla ya kufikisha miezi tisa kwa Hospitali ya Wilaya ya Kongwa hii leo. (Picha na Ofisi ya Bunge)
Hivyo makala SPIKA WA BUNGE APOKEA MSAADA KWA AJILI YA HOSPITALI YA KONGWA
yaani makala yote SPIKA WA BUNGE APOKEA MSAADA KWA AJILI YA HOSPITALI YA KONGWA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala SPIKA WA BUNGE APOKEA MSAADA KWA AJILI YA HOSPITALI YA KONGWA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/11/spika-wa-bunge-apokea-msaada-kwa-ajili.html
0 Response to "SPIKA WA BUNGE APOKEA MSAADA KWA AJILI YA HOSPITALI YA KONGWA"
Post a Comment