title : NAIBU WAZIRI SHONZA AWATAKA WASANII KUJIJENGEA TABIA YA KUJIWEKEA AKIBA
kiungo : NAIBU WAZIRI SHONZA AWATAKA WASANII KUJIJENGEA TABIA YA KUJIWEKEA AKIBA
NAIBU WAZIRI SHONZA AWATAKA WASANII KUJIJENGEA TABIA YA KUJIWEKEA AKIBA
Na Vero Ignatus, Arusha
Naibu waziri wa Habarui, sanaa utamaduni na michezo Mhe. Juliana Shonza amewataka wasanii wa Injili kjijengea tabia ya kujiwekea akiba ili punde wapatapo matatizo waweze kuyatatua kwa urahisi.
Naibu waziri wa Habarui, sanaa utamaduni na michezo Mhe. Juliana Shonza amewataka wasanii wa Injili kjijengea tabia ya kujiwekea akiba ili punde wapatapo matatizo waweze kuyatatua kwa urahisi.
Ameyasema hayo hivi karibuni alipokuwa akizindua mfuko wa Tagoane LoanFund Jijini Arusha ambapo amepongeza uongozi wa Tagoane kufikia hatua hiyo. Ameyataka mashirikisho yote ya muziki wa Injili nchini Tanzania kuiga mfano nzuri wa Tagoane ili waweze kuwa na mashirikisho ambayo ni hai na yanayoleta mshindo kwenye jamii.
Amesema yeye kama mlezi wa wasanii wote nchi amewaomba waamke wachangamkie fursa na wasiwe wavivu kujifunza kutoka kwa wenzao waliofanikiwa .Amewataka wasanii kukaa kwa pamoja Kuonyeshe Uzalendo kwa nchi yao wajadili changamoto mbalimbali wanazozipitia na kutafuta namna ya kutazua changamoto zinazowakabili.
Kwa upande wake Rais wa Tagoane Taifa Dkt. Godwin Maimu amesema kuwa wanedhamiria kuanzisha mfuko wao wa Tagoane Loan Fund ambapo mpaka sasa umekuwa na wanachama ambao wameshachangia akiba zao zipatazo shilingi milioni kumi.Amesema mfuko huo unatarajiwa kuanza kutoa mikopo kwa wanachama wavhqngiaji kuanzia 2 januari 2019
maendeleo kama vijana hayawezi kuendelea ukiwa na jitihada za mtu mmoja mmoja bali balintunapounganisha nguvu zetu kwa pamoja mwisho wa siku tunapata kitu cha kuweza kutusaidia. Alisema Dkt Maimu

Naibu waziri wa Habari, sanaa utamaduni na michezo, Juliana Shonza akizungumza katika tamasha Tukuza Festival Genesis one katika hotem ya Corido Spring Jijini Arusha. Picha/habari na Vero Ignatus.
Naibu Waziri wa Habari, sanaa, Utamaduni na michezo Juliana Shonza akipeana mikono na Rais wa Tagoane Dkt. Godwin Maimu mara baada ya kuzindua mfuko wa Tagoane Loan Fund Jijini Arusha.
Rais wa Mtandao wa wasanii wa Injili na Maadili Tanzania Dkt. Godwin Maimu akizungumza na wasanii mbalimbali waliohudhuria katika tamasha la Tukuza festival Genesis one Jijini Arusha.
Naibu waziri wa Habari sanaa utamaduni na michezo Juliana Shonza akisalimiana na Mkurugenzi wa Newlife Band Fortunatus Mabondo(Hondo)

Naibu Waziri wa Habari, Sanaa, utamaduni na michezo akipokelewa na kikundi cha ngoma cha jamii ya wamasai cha Meserani Jijini Arusha.
Hivyo makala NAIBU WAZIRI SHONZA AWATAKA WASANII KUJIJENGEA TABIA YA KUJIWEKEA AKIBA
yaani makala yote NAIBU WAZIRI SHONZA AWATAKA WASANII KUJIJENGEA TABIA YA KUJIWEKEA AKIBA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala NAIBU WAZIRI SHONZA AWATAKA WASANII KUJIJENGEA TABIA YA KUJIWEKEA AKIBA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/01/naibu-waziri-shonza-awataka-wasanii.html
0 Response to "NAIBU WAZIRI SHONZA AWATAKA WASANII KUJIJENGEA TABIA YA KUJIWEKEA AKIBA"
Post a Comment