title : GAVANA LUOGA ATOA PONGEZI MAALUM KWA WAFANYAKAZI BOT KUANDAA MIFUMO YA KUKUSANYA MALIPO YA SERIKALI
kiungo : GAVANA LUOGA ATOA PONGEZI MAALUM KWA WAFANYAKAZI BOT KUANDAA MIFUMO YA KUKUSANYA MALIPO YA SERIKALI
GAVANA LUOGA ATOA PONGEZI MAALUM KWA WAFANYAKAZI BOT KUANDAA MIFUMO YA KUKUSANYA MALIPO YA SERIKALI
Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania, Prof. Florens Luoga, amewapongeza wafanyakazi nane wa Benki Kuu upande wa teknolojia ya habari na mawasiliano (TEHAMA) kwa mchango na uzalendo wa hali ya juu uliowezesha kusimikwa kwa mifumo ya kielektroniki ya kulipa mishahara na kukusanyia mapato ya serikali nchini.
Ameyasema hayo jijini Dar es Salaam katika hafla fupi ya kuwapongeza wafanyakazi hao kwa kushirikiana na wataalam kutoka taasisi zingine za serikali katika kubuni, kutengeneza na kusimika mifumo ya kukusanya malipo ya serikali kielektroniki ya GePG na kulipa mishahara kupitia Benki Kuu ya Tanzania (GSPP) kati ya mwaka 2015 na 2018.
“Siku zote, Benki Kuu imekuwa ikihamasisha wafanyakazi wake kujituma katika kazi kwa weledi na ubunifu wa hali ya juu ili kuongeza tija na kuachana na kufanya kazi kwa mazoea. Katika hili, tunawapongeza kwa kuwa mmetekeleza kwa vitendo falsafa hii kutokana na utendaji wenu uliotukuka. Hongereni sana!,” amesema Prof. Luoga.
Gavana Luoga alisema kwa kutumia wataalam wa ndani kusimika mifumo hiyo, sio tu kumeiwezesha serikali kudhibiti mianya ya ukwepaji kodi na kuimarisha ukusanyaji wa mapato, bali pia kumeliwezesha taifa kuokoa fedha nyingi ambazo zingetumika kununua mifumo kama hiyo kutoka nje ya nchi.
Kushoto: Gavana wa BoT Prof. Florens Luoga akimpongeza Bi. Mota Cecilia Mlama kwa kazi nzuri. Kulia Prof. Luoga (waliokaa katikati) katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa BoT walioshirikiana na wataalam kutoka taasisi zingine za serikali kutengeneza mifumo ya kulipa watumishi wa umma mishahara kupitia Benki Kuu na kukusanya malipo ya serikali kielektroniki. Waliokaa wengine kushoto ni Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu, Bw. Kened Nyoni na kulia ni Bi. Flora Mwaigomole, Meneja wa Rasilimali Watu.

Hivyo makala GAVANA LUOGA ATOA PONGEZI MAALUM KWA WAFANYAKAZI BOT KUANDAA MIFUMO YA KUKUSANYA MALIPO YA SERIKALI
yaani makala yote GAVANA LUOGA ATOA PONGEZI MAALUM KWA WAFANYAKAZI BOT KUANDAA MIFUMO YA KUKUSANYA MALIPO YA SERIKALI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala GAVANA LUOGA ATOA PONGEZI MAALUM KWA WAFANYAKAZI BOT KUANDAA MIFUMO YA KUKUSANYA MALIPO YA SERIKALI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/11/gavana-luoga-atoa-pongezi-maalum-kwa.html
0 Response to "GAVANA LUOGA ATOA PONGEZI MAALUM KWA WAFANYAKAZI BOT KUANDAA MIFUMO YA KUKUSANYA MALIPO YA SERIKALI"
Post a Comment