Lugola Ampa Siku 14 IGP kuripoti Ofisini Kwake

Lugola Ampa Siku 14 IGP kuripoti Ofisini Kwake - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Lugola Ampa Siku 14 IGP kuripoti Ofisini Kwake, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Lugola Ampa Siku 14 IGP kuripoti Ofisini Kwake
kiungo : Lugola Ampa Siku 14 IGP kuripoti Ofisini Kwake

soma pia


Lugola Ampa Siku 14 IGP kuripoti Ofisini Kwake

 
 
Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi, Mh. Kangi Lugola, ametoa muda wa siku 14 kwa Inspekta Jenerali wa Polisi, IGP Simon Sirro kufika ofisini kwake kumueleza mikakati ya kuwawezesha Watanzania kufanya kazi kwa saa 24 ikiwa ni pamoja na kuzuia matishio ya mabasi kutembea nyakati za usiku.
 
Waziri Lugola ametoa agizo hilo mara baada ya kufanya ziara ya kikazi katika makao makuu ya kikosi cha kutuliza ghasia kilichopo Ukonga Jijini Dar es Salaam na kuongea na Askari wa Kikosi hicho na wale wanaohudumia katika uwanja wa ndege wa Julius Nyerere.

Wakati  akitoa agizo hilo, Mhe. Lugola amesema kuwa ili kufikia Uchumi wa kati Watanzania wanatakiwa kufanya kazi za kiuchumi kwa masaa 24 hivyo IGP anapaswa kumhakikishia mikakati ya jeshi lake katika ushiriki wao wa kuwapatia  watanzania usalama kwa muda wotewakifanya shughuli hizo za kiuchumi.

"Nataka IGP aje aniambie kwamba je, jeshi la polisi limesalimu amri kwa majambazi ndiyo maana mabasi hayatembei usiku, lakini biashara mbalimbali ikifika saa 12 zinafungwa, ukiuliza unaambiwa ni kwa sababu ya usalama, nataka IGP aniambie kama majambazi ndio wanaotupatia amri...
"Hatuwezi kukubali kupewa amri na majambazi ni masaa mangapi tunatakiwa kuganya shughuli za kiuchumi au kupangiwa maeneo ya kwenda na wapi tusiende," Waziri Lugola.


Hivyo makala Lugola Ampa Siku 14 IGP kuripoti Ofisini Kwake

yaani makala yote Lugola Ampa Siku 14 IGP kuripoti Ofisini Kwake Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Lugola Ampa Siku 14 IGP kuripoti Ofisini Kwake mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/07/lugola-ampa-siku-14-igp-kuripoti.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Lugola Ampa Siku 14 IGP kuripoti Ofisini Kwake"

Post a Comment