title : SHINDANO LA AMSHA AMSHA AIRTEL MONEY NA SPORT PESA LAFIKA TAMATI WASHINDI WATAJWA.
kiungo : SHINDANO LA AMSHA AMSHA AIRTEL MONEY NA SPORT PESA LAFIKA TAMATI WASHINDI WATAJWA.
SHINDANO LA AMSHA AMSHA AIRTEL MONEY NA SPORT PESA LAFIKA TAMATI WASHINDI WATAJWA.
Afisa uhusiano wa kampuni ya Airtel Tanzania Jackson Mbando katikati aliyeshika jezi ya nyekundubaadaya chuzesha droo ya ya Amshaamsha Artel na Spot Pesa , mwingineneni afisa uhusiano wa Sport Pesa Sabrina Msuya.
Mwamba wa habari
Kampuni ya simu ya Airtel Tanzania kwa kushirikiana na SportPesa leo ichezesha droo ya mwisho ya shindano la amsha amsha na Aiterl Money lililodumu kwa muda wa mwezi mmoja, ambapo walioshiriki mchezo huo wamejishindia zawadi mbalimbali.
Afisa uhusiano wa kampuni ya Airtel Tanzania Jackson Mbando katikati akizungumza wakati wa chuzesha droo ya ya Amshaamsha Artel na Spot Pesa , wapili kushoto ni afisa uhusiano wa Sport Pesa Sabrina Msuya.
Akizungumza na waandishi wa habari wakati wa kuchezesha droo hiyo Afisa Uhusiano kwa umma wa Airtel Jackson Mbando amesema promotion hiyo ilianza mwezi mmoja uliopita na imefika mwisho tarehe 15,na kwamba mwisho wa promotion hiyo ni mwanzo wa promotion nyingine.
"Kama ambavyo tuna fahamu promotion yetu imefika mwisho na kupitia Airtel Money wateja wetu wataendelea kutuma pesa bure na bado Kuna vitu vingi vinafuata kutoka Airtel na Spot Pesa endeleeni kubet na kutuma pesa bure" alisema.
Afisa uhusiano wa kampun ya SportPesa Sabrina Msuya
Kwa upande wake Afisa Uhusiano wa Sport pesa Sabrina Msuya amesema tangu promotion hii imeanza jumla ya Tv set nne ambapo kila juma ilikuwa inatolewa TV moja, simu aina ya Samsung Galaxy 30,Jezi za Simba na Yanga 30 zilizo ambatana na tiketi za kuhudhuria mechi za msimuhuu ya ligi unaokuja .
Baadhi ya wa shindi waliojishindia zawadi kutoka Airtel na Spot Pesa ni pamoja na Polycarp Mnengule kutoka Iringa Kihesa, ambaye ambaye amejinyakulia TV 1na aina ya Samsung nchi 32 pamoja na King'amuzi cha Star times, mshindi mwingine ni Emmanuel Rugemalila mkazi wa Mkoa wa Kagera aliyejishindia Simu ya mkononi, Michael Jandika wa Dumila mkoani Morogoro yeye amejishindia tiketi ya kutazama mechi za Simba na Yanga kwa msimu wa ligi ujao.
Hivyo makala SHINDANO LA AMSHA AMSHA AIRTEL MONEY NA SPORT PESA LAFIKA TAMATI WASHINDI WATAJWA.
yaani makala yote SHINDANO LA AMSHA AMSHA AIRTEL MONEY NA SPORT PESA LAFIKA TAMATI WASHINDI WATAJWA. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala SHINDANO LA AMSHA AMSHA AIRTEL MONEY NA SPORT PESA LAFIKA TAMATI WASHINDI WATAJWA. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/07/shindano-la-amsha-amsha-airtel-money-na.html
0 Response to "SHINDANO LA AMSHA AMSHA AIRTEL MONEY NA SPORT PESA LAFIKA TAMATI WASHINDI WATAJWA."
Post a Comment