OKTOBA 1 YA KILA MWAKA NI MWEZI WA ROZARI TAKATIFU

OKTOBA 1 YA KILA MWAKA NI MWEZI WA ROZARI TAKATIFU - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa OKTOBA 1 YA KILA MWAKA NI MWEZI WA ROZARI TAKATIFU, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : OKTOBA 1 YA KILA MWAKA NI MWEZI WA ROZARI TAKATIFU
kiungo : OKTOBA 1 YA KILA MWAKA NI MWEZI WA ROZARI TAKATIFU

soma pia


OKTOBA 1 YA KILA MWAKA NI MWEZI WA ROZARI TAKATIFU

Na Mwandishi Wetu Globu ya Jamii

WAUMINI wa Kanisa Katoliki Duniani kote leo wameanza kusali Rozali Takatifu ikiwa kila mara husali lakini kwa mwezi huu inawalazimu kusali zaidi na unajulikana ni Mwezi wa Rozali.

Katika Kalenda ya Kanisa katoliki leo waumini wote wameanza kusali Rozari Takatifu kwa mujibu wa imani ya kanisa katoriki.Hivyo waumini wa Kanisa katoliki wanaalikwa kusali Rozari takatifu kila mara.

Oktoba ni mwezi ambao umewekwa kwaajili ya Bikira Maria na mama wa Kanisa waumini wa kanisa hilo leo wanasali Sala mbalimbali kwa mwombezi Bikira Maria.

HISTORIA YA ROZARI

Ni kwamba sala ya Rozari inasemekana kuanzishwa na Mt. Dominico aliyezaliwa mnamo mwaka 1170 na kufariki mwaka 1221 na hiyo sala Mt. Dominico aliipata kwa njia ya ufunuo ambapo Bikira Maria alimtokea na kumwamuru awe anasali rozari.

 Bikira Maria alimwamuru mtakatifu Dominico kusali rozari kwa kipindi hicho iwe kama silaha yake ili kupambana na uzushi uliokuwa umeibuka ukipingana na mafundisho ya Kanisa, na huo uzushi uliitwa ‘ Albigensia’ hili ni kundi lilokuwa na imani kuwa Duniani kuna nguvu nguvu mbili zenye uwiano sawa lakini hupingana na kupigana moja baada ya nyingine, nazo nguvu hizo ni Mungu na Shetani.

 Hivyo waliamini kabisa kuwa Mungu na Shetani wana nguvu sawa ( Dualistic ).Pia  waliamini kuwa dunia hii imejaa uovu kwa kuwa iliumbwa na mwovu. Ni kwa msingi huu Kanisa liliamua kupambana na hawa wazushi ambao pia walionekana kupotosha mafundisho ya Kanisa.

 Ndipo tunaona Bikira Maria anamtokea Mtakatifu Dominico na kumwambia asali rozari ili kupambana na mafundisho hayo ya kizushi. Ni Papa Pio V ambaye mnamo mwaka 1569 alihidhinisha rasmi kusali rozari kwa kanisa nzima na kuhidhinisha rozari iwe jinsi tunavyoiona sasa. 




Hivyo makala OKTOBA 1 YA KILA MWAKA NI MWEZI WA ROZARI TAKATIFU

yaani makala yote OKTOBA 1 YA KILA MWAKA NI MWEZI WA ROZARI TAKATIFU Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala OKTOBA 1 YA KILA MWAKA NI MWEZI WA ROZARI TAKATIFU mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/10/oktoba-1-ya-kila-mwaka-ni-mwezi-wa.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "OKTOBA 1 YA KILA MWAKA NI MWEZI WA ROZARI TAKATIFU"

Post a Comment