TAWLA yazungumzia vikwazo vinavyozuia ongezeko la ushiriki na uwakilishi wa wanawake katika uongozi na shughuli za siasa

TAWLA yazungumzia vikwazo vinavyozuia ongezeko la ushiriki na uwakilishi wa wanawake katika uongozi na shughuli za siasa - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa TAWLA yazungumzia vikwazo vinavyozuia ongezeko la ushiriki na uwakilishi wa wanawake katika uongozi na shughuli za siasa, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : TAWLA yazungumzia vikwazo vinavyozuia ongezeko la ushiriki na uwakilishi wa wanawake katika uongozi na shughuli za siasa
kiungo : TAWLA yazungumzia vikwazo vinavyozuia ongezeko la ushiriki na uwakilishi wa wanawake katika uongozi na shughuli za siasa

soma pia


TAWLA yazungumzia vikwazo vinavyozuia ongezeko la ushiriki na uwakilishi wa wanawake katika uongozi na shughuli za siasa

Josephine Arnold Wakili wa Chama cha Wanasheria wanawake TAWLA akifungua semina ya matekelezo ya Mradi wenye lengo la kuchangia ongezeko la ushiriki na uwakilishi wa wanawake katika ngazi mbalimbali za uongozi na shughuli za kisiasa kwa ujumla wake 

Moja ya Shughuli ndani ya mradi huo ni pamoja na kumiarisha uwezo wa vikundi / Majukwaa ya wanawake katika ngazi ya wilaya za mkoa wa Dar es salaam ili waweze kuongelea changamoto zinazowazuia kushiriki kikamilifu kwenye shughuli za kisiasa, Walioshiriki katika semina hiyo ni vikundi na majukwaa ya wanawake katika ngazi za kata na wilaya za mkoa wa dar es salaam. Semina hiyo imefanyika kwenye hoteli ya New Africa leo.
Isabella Nchimbi Mwanasheria wa Chama cha Wawanasheria Wanawake akitoa mada katika semina hiyo iliyofanyika kwenye hoteli ya New Africa jijini Dar es salaam.
Josephine Arnold Wakili wa Chama cha Wanasheria wanawake TAWLA na Bi. Sara Kinyaga wakifurahia jambo kabla ya kuanza kwa semina hiyo.
Mwezeshaji wa Semina hiyo Sara Kinyaga akitoa mada katika semiha hiyo
Picha mbalimbali zikionyesha baadhi ya washiriki wa semina hiyo wakifuatilia mada zilizokuwa zikitolewa katika semina hiyo iliyofanyika kwenye hoteli ya New Africa leo.



Hivyo makala TAWLA yazungumzia vikwazo vinavyozuia ongezeko la ushiriki na uwakilishi wa wanawake katika uongozi na shughuli za siasa

yaani makala yote TAWLA yazungumzia vikwazo vinavyozuia ongezeko la ushiriki na uwakilishi wa wanawake katika uongozi na shughuli za siasa Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala TAWLA yazungumzia vikwazo vinavyozuia ongezeko la ushiriki na uwakilishi wa wanawake katika uongozi na shughuli za siasa mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/08/tawla-yazungumzia-vikwazo-vinavyozuia.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "TAWLA yazungumzia vikwazo vinavyozuia ongezeko la ushiriki na uwakilishi wa wanawake katika uongozi na shughuli za siasa"

Post a Comment