title : MAJALIWA ATEMBELEA KIWANDA CHA KAHAWA CHA AMIMZA MJINI BUKOBA
kiungo : MAJALIWA ATEMBELEA KIWANDA CHA KAHAWA CHA AMIMZA MJINI BUKOBA
MAJALIWA ATEMBELEA KIWANDA CHA KAHAWA CHA AMIMZA MJINI BUKOBA
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kuhusu usindikaji wa kahawa yenye viwango vya juu kutoka kwa Mkurugenzi wa Kiwanda cha kahawa cha AMIMZA kilichopo Bukoba, Bw. Amiri Hamza (wapili kushoto) wakati alipotembelea kiwanda hicho, Oktoba 9, 2018. Watatu kulia ni Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Charles Mwijage na wapili kulia ni Naibu Waziri wa Kilimo, Dkt. Mary Mwanjelwa.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitembelea kiwanda cha kisasa cha kusindika kahawa cha AMIMZA cha mjini Bukoba Oktoba 9, 2018. Wapili kushoto ni Mkurugenzi wa kiwanda, Amiri Hamza na kushoto ni Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Charles Mwijage. Wapili kulia ni Naibu Waziri wa Kilimo, Dkt. Mary Mwanjelwa .
Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
Hivyo makala MAJALIWA ATEMBELEA KIWANDA CHA KAHAWA CHA AMIMZA MJINI BUKOBA
yaani makala yote MAJALIWA ATEMBELEA KIWANDA CHA KAHAWA CHA AMIMZA MJINI BUKOBA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MAJALIWA ATEMBELEA KIWANDA CHA KAHAWA CHA AMIMZA MJINI BUKOBA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/10/majaliwa-atembelea-kiwanda-cha-kahawa_10.html
0 Response to "MAJALIWA ATEMBELEA KIWANDA CHA KAHAWA CHA AMIMZA MJINI BUKOBA"
Post a Comment