title : Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi Akiwa Ziarani Kisiwani Pemba.
kiungo : Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi Akiwa Ziarani Kisiwani Pemba.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi Akiwa Ziarani Kisiwani Pemba.
MAKAMU wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi, akisalimiana Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kaskazini Mberwa Hamad Mberwa, wakati alipofika katika skuli ya maandalizi Maziwa ngombe kwa ajili ya uwekaji wa jiwe la Msingi skuli hiyo
MAKAMU wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi, akikunjuwa kitambaa kuashiria uwekaji wa jiwe la msingi katika skuli ya maandalizi Maziwangombe Wilaya ya Micheweni Mkoa wa kaskazini Pemba
Hivyo makala Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi Akiwa Ziarani Kisiwani Pemba.
yaani makala yote Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi Akiwa Ziarani Kisiwani Pemba. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi Akiwa Ziarani Kisiwani Pemba. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/10/makamu-wa-pili-wa-rais-wa-zanzibar-mhe_84.html
0 Response to "Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi Akiwa Ziarani Kisiwani Pemba."
Post a Comment