title : DIWANI FELLA AWATAKA WANANCHI KUFANYA BIASHARA NA MUNGU.
kiungo : DIWANI FELLA AWATAKA WANANCHI KUFANYA BIASHARA NA MUNGU.
DIWANI FELLA AWATAKA WANANCHI KUFANYA BIASHARA NA MUNGU.
DIWANI Wa kata ya Kilungule Mbagala Dar es salaam,Said Fella amewashukuru wananchi wake Wa mtaa Wa majimatituB kwa kumkaribisha kwenye kuweka jiwe la Msingi katika Ujenzi Wa msikiti Mpya .
Sherehe hizo zilifanyika katika kiwanja cha Kiislam Chasimba sehemu ambapo Msikiti huo Mpya utajengwa.
Na sherehe hiyo ilihudhuriwa na Viongozi Mbalimbali Wa Kidini na kiserikali akiwemo Mzee Yusuph na Kamanda Wa kikosi cha usalama Barabarani Nchini Kamanda Muslimu.
Akizungumza na wahumini Wa mtaa Wa Majimatitu B ,Kata ya Kilungule Wilaya ya Temeke Dar es Salaam ,Fella alisema amefarijika kuitwa mahala hapo na kuwaasa wakazi hao waanze sasa kufanya biashara na Mungu kwa kujitolea kujenga Misikiti na Makanisa kwa maendeleo ya Jamii zetu.
"Binafsi nimefarijika sana kuitwa mahala hapa kuwa moja Wa mgeni Wa kuja kuweka jiwe la Msingi katika Ujenzi Wa Msikiti Mpya niwaombe Wakazi Wangu Mimi kama kiongozi wenu tuanze sasa kufanya biashara na Mungu"Alisema Fella.
Fella amehaidi atawachangia mifuko 20 ya Cement.
Hivyo makala DIWANI FELLA AWATAKA WANANCHI KUFANYA BIASHARA NA MUNGU.
yaani makala yote DIWANI FELLA AWATAKA WANANCHI KUFANYA BIASHARA NA MUNGU. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala DIWANI FELLA AWATAKA WANANCHI KUFANYA BIASHARA NA MUNGU. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/07/diwani-fella-awataka-wananchi-kufanya.html
0 Response to "DIWANI FELLA AWATAKA WANANCHI KUFANYA BIASHARA NA MUNGU."
Post a Comment