Viongozi watoa mkono wa pole nyumbani kwa Rais Mstaafu Kikwete

Viongozi watoa mkono wa pole nyumbani kwa Rais Mstaafu Kikwete - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Viongozi watoa mkono wa pole nyumbani kwa Rais Mstaafu Kikwete, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Viongozi watoa mkono wa pole nyumbani kwa Rais Mstaafu Kikwete
kiungo : Viongozi watoa mkono wa pole nyumbani kwa Rais Mstaafu Kikwete

soma pia


Viongozi watoa mkono wa pole nyumbani kwa Rais Mstaafu Kikwete

 Rais Mstaafu, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha Rais Mstaafu wa awamu ya tatu, Mh. Benjamini Mkapa alipowasili nyumbani kwake Msasani, jijini Dar es salaam leo kuhani msiba wa Baba Mzazi wa Mama Salma Kikwete, Marehemu Mzee Rashid Mkwachu.
 Rais Mstaafu, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akisalimaiana na Mke wa Mh. Benjamin Mkapa, Mama Anna Mkapa walipowasili nyumbani kwake Msasani, jijini Dar es salaam leo kuhani msiba wa Baba Mzazi wa Mama Salma Kikwete, Marehemu Mzee Rashid Mkwachu.
 Rais Mstaafu wa awamu ya tatu, Mh. Benjamini Mkapa akisalimiana na Mke wa Mh. Jakaya Kikwete, Mama Salma Kikwete wakati alipofika kuhani Msiba wa Baba yake, Marehemu Mzee Rashid Mkwachu uliotokea hivi karibuni. Mh. Mkapa aliambatana na Mkewe Mama Anna Mkapa. Kulia ni Rais Mstaafu, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete.
 Mama Anna Mkapa akimfariji Mama Salma Kikwete.  
 Rais Mstaafu, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwaeleza jambo Rais Mstaafu wa awamu ya tatu, Mh. Benjamini Mkapa na Mkewe Mama Anna Mkapa, wakati walipofika nyumbani kwake, Msasani jijini Dar es salaam leo kuhani msiba wa Baba Mzazi wa Mama Salma Kikwete, Marehemu Mzee Rashid Mkwachu.
 Rais Mstaafu Mh. Benjamini Mkapa pamoja na Rais Mstaafu, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete wakifurahi jambo na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mh. Kangi Lugola wakati walipokutana nyumbani kwa Mh. Kikwete, Msasani jijini Dar es salaam leo kuhani msiba wa  Baba Mzazi wa Mama Salma Kikwete, Marehemu Mzee Rashid Mkwachu.
 Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mh. Kangi Lugola akitoa pole ya msiba kwa Mama Salma Kikwete, aliyefiwa na Baba yake Marehemu Mzee Rashid Mkwachu. 
 Rais Mstaafu, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Makamu Wa Rais Mstaafu, Dkt. Mohamed Gharib Bilal alipowasili nyumbani kwake Msasani, jijini Dar es salaam leo kuhani msiba wa Baba Mzazi wa Mama Salma Kikwete, Marehemu Mzee Rashid Mkwachu.
 Makamu Wa Rais Mstaafu, Dkt. Mohamed Gharib Bilal akimpa pole Mama Salma Kikwete, kwa kufiwa na Baba yake Marehemu Mzee Rashid Mkwachu. Dkt. Bilal aliambatana na Wake zake, Mama Zakhia na Mama Asha Bilal.
 Rais Mstaafu, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimueleza jambo Makamu wa Rais Mstaafu Dkt. Mohamed Gharib Bilal na Wake zake, Mama Zakhia na Mama Asha Bilal, walipofika nyumbani kwake, Msasani jijini Dar es salaam leo kuhani msiba wa Baba Mzazi wa Mama Salma Kikwete, Marehemu Mzee Rashid Mkwachu.
Rais Mstaafu, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete na Mkewe Mama Salma Kikwete wakiwa katika picha ya pamoja na Makamu wa Rais Mstaafu Dkt. Mohamed Gharib Bilal na Wake zake, Mama Zakhia na Mama Asha Bilal pamoja na baadhi ya watoto wao. 

Rais Mstaafu, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha nyumbani kwake, Jaji Mkuu Mstaafu, Augustino Ramadhan wakati alipofika kuhani msiba wa  Baba Mzazi wa Mama Salma Kikwete, Marehemu Mzee Rashid Mkwachu.

Jaji Mkuu Mstaafu, Augustino Ramadhan akimpa pole Mama Salma Kikwete, kwa kufiwa na Baba yake Marehemu Mzee Rashid Mkwachu. 
 Rais Mstaafu, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimueleza jambo Jaji Mkuu Mstaafu, Augustino Ramadhan akimpa pole Mama Salma Kikwete, kwa kufiwa na Baba yake Marehemu Mzee Rashid Mkwachu.
 Naibu Waziri wa Nishati, Subira Mgalu (wa pili kushoto) akimkabidhi Mke wa Rais Mstaafu, Mama Salma Kikwete Rambirambi iliyotolewa na Wabunge kufuatia kufiwa na Baba yake, Marehemu Mzee Rashid Mkwachu. kushoto ni Rais Mstaafu, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akishuhudia. Naibu Waziri Mgalu aliambatana na Mh. Hawa Ghasia


Rais Mstaafu, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiutambulisha ujumbe wa Africa-America Institute (AAI)  ukiongozwa na Mwenyekiti wake wa Bodi, Stephen Pfeifer pamoja na Mariam Sow uliofika nyumbani kwake kumpa pole kwa kufiwa na Baba Mzazi wa Mke wake, Mama Salma Kikwte, Marehemu Mzee Rashid Mkwachu.


Hivyo makala Viongozi watoa mkono wa pole nyumbani kwa Rais Mstaafu Kikwete

yaani makala yote Viongozi watoa mkono wa pole nyumbani kwa Rais Mstaafu Kikwete Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Viongozi watoa mkono wa pole nyumbani kwa Rais Mstaafu Kikwete mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/07/viongozi-watoa-mkono-wa-pole-nyumbani.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Viongozi watoa mkono wa pole nyumbani kwa Rais Mstaafu Kikwete"

Post a Comment