KUMBUKIZI LA SEPTEMBA 11 MIAKA 17 BAADAYA YASHAMBULIZI LA MAGAIDI WA ALQAED DHIDI YA MREKANI

KUMBUKIZI LA SEPTEMBA 11 MIAKA 17 BAADAYA YASHAMBULIZI LA MAGAIDI WA ALQAED DHIDI YA MREKANI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa KUMBUKIZI LA SEPTEMBA 11 MIAKA 17 BAADAYA YASHAMBULIZI LA MAGAIDI WA ALQAED DHIDI YA MREKANI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : KUMBUKIZI LA SEPTEMBA 11 MIAKA 17 BAADAYA YASHAMBULIZI LA MAGAIDI WA ALQAED DHIDI YA MREKANI
kiungo : KUMBUKIZI LA SEPTEMBA 11 MIAKA 17 BAADAYA YASHAMBULIZI LA MAGAIDI WA ALQAED DHIDI YA MREKANI

soma pia


KUMBUKIZI LA SEPTEMBA 11 MIAKA 17 BAADAYA YASHAMBULIZI LA MAGAIDI WA ALQAED DHIDI YA MREKANI


LEO Septemba 11 dunia inakumbuka miaka 17 tangu kutokea kwa shambulio la kigaidi lililotekelezwa na kundi la kigaidi maarufu kama Al Queda dhidi ya Marekani kwa kulipua miji miwili na kusababisha mauaji na hasara kubwa.


Shambulio hilo ni moja kati ya mashambulio manne makubwa kuwahi kutokea, na shambulio hilo linafahamika zaidi kama Septemba 11 lilotokea asubuhi ya siku ya jumanne ya tarehe 11/9/2001 ambapo magaidi hao waliteka ndege 4 na kuzitumia kama silaha kwa kuzigongesha kwenye majengo makubwa ya kibiashara (World Trade Centre) katika majiji Newyork na Washngton DC.


Shambulio hilo lililofanyika asubuhi ilisababisha vifo zaidi ya watu 2996, majeruhi zaidi ya 6,000 na hasara ya uharibifu uliokadiriwa kufikia dola za kimarekani bilioni 10 na baadaye wengi wakagundulika na kuwa na matatizo katika mifumo ya upumuaji na saratani.


Ndege tatu zilifanikiwa kugonga majengo makubwa ya kibiashara na ndege moja ilitwaliwa na abiria na ikaangua katika mji wa Pennsylvania na magaidi 19 wa shambulio hilo walifariki.


Baada ya shambulio  Marekani walilaani shambulio hilo  na kuanza vita dhidi ya ugaidi ambapo kiongozi na mwanzilishi wa kundi hilo la Al Queda Osama Bin Laden alikimbilia nchini Afghanistan na kujificha.


Baada ya kumsaka gaidi huyo kwa miaka 10, Bin Laden aliuawa na jeshi la wana maji la Kimarekani mnamo 5/2/2011.


Hivyo makala KUMBUKIZI LA SEPTEMBA 11 MIAKA 17 BAADAYA YASHAMBULIZI LA MAGAIDI WA ALQAED DHIDI YA MREKANI

yaani makala yote KUMBUKIZI LA SEPTEMBA 11 MIAKA 17 BAADAYA YASHAMBULIZI LA MAGAIDI WA ALQAED DHIDI YA MREKANI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala KUMBUKIZI LA SEPTEMBA 11 MIAKA 17 BAADAYA YASHAMBULIZI LA MAGAIDI WA ALQAED DHIDI YA MREKANI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/09/kumbukizi-la-septemba-11-miaka-17.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "KUMBUKIZI LA SEPTEMBA 11 MIAKA 17 BAADAYA YASHAMBULIZI LA MAGAIDI WA ALQAED DHIDI YA MREKANI"

Post a Comment