MAKALA YA SHERIA: KULIPWA GHARAMA ZA KESI

MAKALA YA SHERIA: KULIPWA GHARAMA ZA KESI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MAKALA YA SHERIA: KULIPWA GHARAMA ZA KESI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MAKALA YA SHERIA: KULIPWA GHARAMA ZA KESI
kiungo : MAKALA YA SHERIA: KULIPWA GHARAMA ZA KESI

soma pia


MAKALA YA SHERIA: KULIPWA GHARAMA ZA KESI

Na  Bashir  Yakub.

Kuna tofauti kati ya gharama za kesi(costs), fidia (compesation), na faini(fine). Gharama za kesi ni nje ya haya lakini pia ni nje ya kile ulichoshinda. Kwasababu imeamriwa ulipwe fidia au imeamriwa ulipwe faini haimaanishi hata gharama zinahesabika humohumo. Laa, hasha, kama ni fidia utalipwa, kadhalika na gharama utatakiwa  kulipwa.

Ukweli ni kuwa watu wengi huwa hawadai gharama za kesi . Mtu akishaambiwa ameshinda basi. Kama imeamriwa alipwe pesa, au kama ni mali kama ardhi imeamriwa arudishiwe, au ushindi mwingine wowote basi  huondoka tu moja kwa moja bila kudai gharama zake. Sasa yafaa ujue kuwa nje ya ushindi unaopewa na mahakama pia unatakiwa kulipwa gharama zako za kuendeshea shauri/kesi.

1.GHARAMA ZA KESI NI NINI .

Gharama za kesi ni yale matumizi yote halali uliyoingia wakati ukishughulikia kesi/shauri husika. Hizi ni pamoja na nauli ulizokuwa ukitumia kutoka nyumbani kwenda mahakamani kwa kipindi chote cha kesi/shauri mpaka kuisha,pesa uliyomlipa wakili kama ulikuwa unawakilishwa na wakili, pesa uliyotumia kumlipa wakili kuandaa nyaraka , pesa ya kuchapa(print),pesa ya  kutoa kopi kwenye nyaraka mbalimbali ulizokuwa ukiwasilisha mahakamani, na gharama nyingine yoyote ambayo uliingia wakati ukifuatilia kesi/shauri.

Isipokuwa tu gharama hizo ziwe zile ambazo ni halali. Rushwa na gharama nyingine za ajabu ambazo umeingia haziwezi kulipwa na ni makosa iwapo ulifanya hivyo.



Hivyo makala MAKALA YA SHERIA: KULIPWA GHARAMA ZA KESI

yaani makala yote MAKALA YA SHERIA: KULIPWA GHARAMA ZA KESI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MAKALA YA SHERIA: KULIPWA GHARAMA ZA KESI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/09/makala-ya-sheria-kulipwa-gharama-za-kesi.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "MAKALA YA SHERIA: KULIPWA GHARAMA ZA KESI"

Post a Comment