title : LUKUVI AMTUMBUA AFISA WA ARDHI MUNDULI
kiungo : LUKUVI AMTUMBUA AFISA WA ARDHI MUNDULI
LUKUVI AMTUMBUA AFISA WA ARDHI MUNDULI
Wazir wa Ardhi Nyumba na maendeleo ya makazi Mhe. William Lukuvi ameagiza kufukuzwa kazi kwa afisa ardhi wa wilaya ya Monduli bwana Kitundu Mkumbo kwa kukiuka sheria na taratibu za utoaji wa hati miliki za kimila.
“Afisa huyu wa ardhi japo hapo awali mlishawahi kumsimamisha kazi kwa makosa mengine kama haya, lakini kwa sasa makosa haya ni makubwa sana na sasa afukuzwe kazi, haiwezekani amilikishe hekari zaidi ya 1,500 kinyume na sheria” Amesema Mhe. Lukuvi.
Waziri Lukuvi ametoa agizo hilo mbele ya wakazi wa kijiji cha Engarooji wilaya ya Monduli mkoa wa Arusha ambao wamekua katika mgogoro wa ardhi kwa muda mrefu hali iliyowalazimu kugawanyika katika makundi mawili yasiyoelewana, Waziri Lukuvi amefafanua kuwa mwenye mamlaka ya kumilikisha mtu ardhi zaidi ya hekari 50 ni Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania pekee.
Hivyo makala LUKUVI AMTUMBUA AFISA WA ARDHI MUNDULI
yaani makala yote LUKUVI AMTUMBUA AFISA WA ARDHI MUNDULI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala LUKUVI AMTUMBUA AFISA WA ARDHI MUNDULI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/09/lukuvi-amtumbua-afisa-wa-ardhi-munduli.html
0 Response to "LUKUVI AMTUMBUA AFISA WA ARDHI MUNDULI"
Post a Comment