KOCHA MSAIDIZI SIMBA KUKOSA MCHEZO WA NDANDA FC

KOCHA MSAIDIZI SIMBA KUKOSA MCHEZO WA NDANDA FC - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa KOCHA MSAIDIZI SIMBA KUKOSA MCHEZO WA NDANDA FC, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : KOCHA MSAIDIZI SIMBA KUKOSA MCHEZO WA NDANDA FC
kiungo : KOCHA MSAIDIZI SIMBA KUKOSA MCHEZO WA NDANDA FC

soma pia


KOCHA MSAIDIZI SIMBA KUKOSA MCHEZO WA NDANDA FC


Wakati kikosi cha Simba kikiratajiwa kuondoka leo jijini Dar es Salaam kuelekea Mtwara, taarifa za kidukuzi zinaeleza kuwa Kocha wake Msaidizi, Masoud Djuma atasalia Dar es Salaam.

Kocha huyo ambaye aliteka vyombo vya habari wiki kadhaa zilizopita kwa kuripotiwa kuwa ataondoka Msimbazi, inaelezwa ataikosa safari hiyo kwa majukumu ya kukinoa kikosi kitakachosalia Dar es Salaam.

Djuma atasalia jijini Dar kikonoa kikosi cha hicho kwa ajili ya maandalizi ya mechi zijazo za Ligi Kuu Bara.

Jumla ya wachezaji 20 sambamba na Kocha Mkuu Patrick Aussems, wananaondoka leo kuelekea Mtwara na ndege bila ya Meneja wa timu, Richard Robert.

Robert ataikosa safari hiyo baada ya kufungiwa na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kwa muda wa mwaka mmoja kujihusisha na masuala ya soka.

Simba inaelekea Mtwara kukabiliana na Ndanda ikiwa na rekodi ya kutokufungwa na timu hiyo tangu ipande daraja mwaka 2014.


Hivyo makala KOCHA MSAIDIZI SIMBA KUKOSA MCHEZO WA NDANDA FC

yaani makala yote KOCHA MSAIDIZI SIMBA KUKOSA MCHEZO WA NDANDA FC Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala KOCHA MSAIDIZI SIMBA KUKOSA MCHEZO WA NDANDA FC mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/09/kocha-msaidizi-simba-kukosa-mchezo-wa.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "KOCHA MSAIDIZI SIMBA KUKOSA MCHEZO WA NDANDA FC"

Post a Comment