title : DC LYANIVA, "TEMEKE IMEJIPANGA TUNATANGULIZA HUDUMA BORA, NJOONI TUPO SABA SABA."
kiungo : DC LYANIVA, "TEMEKE IMEJIPANGA TUNATANGULIZA HUDUMA BORA, NJOONI TUPO SABA SABA."
DC LYANIVA, "TEMEKE IMEJIPANGA TUNATANGULIZA HUDUMA BORA, NJOONI TUPO SABA SABA."
MwambawahabariMkuu wa Wilaya ya Temeke Mh:Felix Lyaniva amewataka wananchi wa Wilaya ya Temeke kutembelea banda la Manispaa hiyo katika viwanja vya maonyesho ya 42 ya Kimataifa ya Biashara katika viwanja vya Mwalimu Nyerere saba saba barabara ya Kilwa.
Lyaniva ameyasema hayo leo alipotembelea banda la Manispaa ya Temeke na kusema kuwa Manispaa hiyo inatoa huduma mbalimbali ambazo hutolewa ofisini na kuwataka wananchi kufika katika banda hilo ili kupata huduma hizo.
Aidha ametaja baadhi ya huduma ambazo zinatolewa uwanjani hapo kuwa ni pamoja Leseni za biashara, vibali vya ujenzi, ushuru wa huduma za malazi.
Amesema Manispaa imeendelea kutekeleza miradi mbalimbali ya maendeleo, ikiwemo ujenzi wa miundo mbinu.
"Wananchi waje wajifunze mambo mbali mbali yanayopatikana hapa na hawata toka kama walivyo kuja, pia mje kupata maelezo kuhusu vibali vya ujenzi tunataka kujenga Temeke iliyojengwa kwa mpangilio" Amesema.
Hivyo makala DC LYANIVA, "TEMEKE IMEJIPANGA TUNATANGULIZA HUDUMA BORA, NJOONI TUPO SABA SABA."
yaani makala yote DC LYANIVA, "TEMEKE IMEJIPANGA TUNATANGULIZA HUDUMA BORA, NJOONI TUPO SABA SABA." Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala DC LYANIVA, "TEMEKE IMEJIPANGA TUNATANGULIZA HUDUMA BORA, NJOONI TUPO SABA SABA." mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/07/dc-lyaniva-temeke-imejipanga.html
0 Response to "DC LYANIVA, "TEMEKE IMEJIPANGA TUNATANGULIZA HUDUMA BORA, NJOONI TUPO SABA SABA.""
Post a Comment