title : MultiChoice Tanzania yaibuka kidedea Sabasaba
kiungo : MultiChoice Tanzania yaibuka kidedea Sabasaba
MultiChoice Tanzania yaibuka kidedea Sabasaba
Waziri Mkuu Majaliwa Kassim Majaliwa (Kushoto) akimkabidhi Mkuu wa Uhusiano wa MultiChoice Tanzania Johnson Mshana cheti na kombe baada ya banda la DStv kuibuka kidedea katika kundi la waonyeshaji wa huduma na bidhaa za teknolojia ya Mawasiliano.
Wafanyakazi na mawakala wa MultiChoice Tanzania wakishangilia ushindi mara baada ya banda lao la DStv kuibuka banda bora katika kundi la waonyeshaji wa huduma na bidhaa za teknolojia ya Mawasiliano katika maonyesho ya 42 ya kimataifa ya biashara yanayoendelea jijini Dar es Salaam
Mkuu wa Uhusiano wa MultiChoice Tanzania akiwa na balozi maalum wa DStv Nancy Sumari wakionyesha cheti na Kombe walivyokabidhiwa kampuni ya MultiChoice Tanzania baada ya kuibuka banda bora katika kundi la waonyeshaji wa huduma na bidhaa za teknolojia ya Mawasiliano katika maonyesho ya 42 ya kimataifa ya biashara yanayoendelea jijini Dar es Salaam
Hivyo makala MultiChoice Tanzania yaibuka kidedea Sabasaba
yaani makala yote MultiChoice Tanzania yaibuka kidedea Sabasaba Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MultiChoice Tanzania yaibuka kidedea Sabasaba mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/07/multichoice-tanzania-yaibuka-kidedea.html
0 Response to "MultiChoice Tanzania yaibuka kidedea Sabasaba"
Post a Comment