Naibu Waziri Dkt Kijaji Mgeni Rasmi Mahafali ya 11 ya Chuo Cha Kodi

Naibu Waziri Dkt Kijaji Mgeni Rasmi Mahafali ya 11 ya Chuo Cha Kodi - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Naibu Waziri Dkt Kijaji Mgeni Rasmi Mahafali ya 11 ya Chuo Cha Kodi, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Naibu Waziri Dkt Kijaji Mgeni Rasmi Mahafali ya 11 ya Chuo Cha Kodi
kiungo : Naibu Waziri Dkt Kijaji Mgeni Rasmi Mahafali ya 11 ya Chuo Cha Kodi

soma pia


Naibu Waziri Dkt Kijaji Mgeni Rasmi Mahafali ya 11 ya Chuo Cha Kodi

Na Chalila Kibuda, Globu ya Jamii.

Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Ashatu Kijaji anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika mahafali ya 11 ya Chuo cha Kodi yatakayofanyika Novemba 17 chuoni hapo jijini Dar es Salaam.

Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam Mkuu wa Chuo hicho Profesa Isaya Jairo amesema katika mahafali hayo Naibu Waziri atakabidhi zawadi kwa wanafunzi 14 waliofanya vizuri katika maeneo mbalimbali.

Profesa Jairo amesema kuwa wahitimu kwa mwaka huu ni 359 na idadi imekuwa ikiongezeka kila kila mwaka kutokana na ubora wa elimu wanayoitoa.Amesema mikakati ya Chuo ni kuwa Chuo Kikuu kutokana na mahitaji ya Kodi na kuwa Chuo pekee kinachotoa utaalam wa kodi katika Afrika Mashariki.

Profesa Jairo amesema wahitimu 74 watatunukiwa Cheti cha Uwakala wa Forodha cha Afrika Mashariki pamoja na wahitimu 33 watatunukiwa cheti cha Usimamizi wa Forodha na Kodi, wahitimu 142 stashahada Usimamizi wa Forodha na Kodi, wahitimu 95 shahada ya Usimamizi wa Forodha na Kodi, wahitimu 95 wengine shahada ya uzamili katika Kodi na wahitimu 15 Postgraduate Diploma.

Katika mahafali hayo Naibu Waziri Kijaji atatoa vyeti kwa wahadhiri waliofanya tafiti na kuchapishwa katika majarida mbalimbali ya Kitaaluma.
Mkuu wa Chuo Cha Kodi Profesa Isaya Jairo akizungumza na waandishi habari kuhusiana na mahafali 11 ya Chuo hicho yatakayofanyika Novemba 17 mwaka huu katika viwanja vya Chuo hicho jijini Dar es Salaam.


Hivyo makala Naibu Waziri Dkt Kijaji Mgeni Rasmi Mahafali ya 11 ya Chuo Cha Kodi

yaani makala yote Naibu Waziri Dkt Kijaji Mgeni Rasmi Mahafali ya 11 ya Chuo Cha Kodi Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Naibu Waziri Dkt Kijaji Mgeni Rasmi Mahafali ya 11 ya Chuo Cha Kodi mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/11/naibu-waziri-dkt-kijaji-mgeni-rasmi.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Naibu Waziri Dkt Kijaji Mgeni Rasmi Mahafali ya 11 ya Chuo Cha Kodi"

Post a Comment