CITI FOUUNDATION NA TAMFI WAZINDUA AWAMU YA TATU YA TUZO ZA WAJASIRIAMALI

CITI FOUUNDATION NA TAMFI WAZINDUA AWAMU YA TATU YA TUZO ZA WAJASIRIAMALI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa CITI FOUUNDATION NA TAMFI WAZINDUA AWAMU YA TATU YA TUZO ZA WAJASIRIAMALI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : CITI FOUUNDATION NA TAMFI WAZINDUA AWAMU YA TATU YA TUZO ZA WAJASIRIAMALI
kiungo : CITI FOUUNDATION NA TAMFI WAZINDUA AWAMU YA TATU YA TUZO ZA WAJASIRIAMALI

soma pia


CITI FOUUNDATION NA TAMFI WAZINDUA AWAMU YA TATU YA TUZO ZA WAJASIRIAMALI


Kwa mara ya tatu mfululizo, CITI Foundation ikishirikiana na Shirikisho la Asasi zinazotoa huduma ndogo za fedha (TAMFI), jana wamezindua awamu ya tatu ya tuzo za wajasiriamali za CITI (CITI Micro entrepreneurship Awards – CMA).Tuzo hizi zinalenga kutambua mchango mkubwa wa wajasiriamali kwenye kuinua uchumi wa familia zao na jamii zinazowazunguka.

Kwa mujibu wa Mtendaji Mkuu wa Citibank Tanzania, Bw. Joseph Carasso, tuzo za CITI zimeshamiri na katika kipindi cha miaka miwili iliyopita kumekuwa na mafanikio makubwa kwa wajasiriamali wadogo na walio wabunifu. 

Mtendaji huyo alisema CITI inaamini kuwa wajasiriamali wadogo wenye ubunifu ndio wajasiriamali wakubwa wa kesho. Tunawathamini sana.Tuzo za wajasiriamali za CITI (CMA) zimekuwa alama kubwa ya utendaji wa kazi za Citi Foundation kwa zaidi ya muongo mmoja.

Tangu mwaka 2005, wakati zilipoanzishwa nchini Marekani tuzo za CITI, zimelenga kuleta mageuzi ya kiuchumi na fursa kwa wajasiriamali katika nchi zaidi ya nchi thelatini duniani kote.Hapa nchini katika awam,u ya tatu , CITI itatoa zaidi ya shilingi milioni 70 kwa washindi kumi na sita. Na tuzo hizi zitaweka alama na kutoa motisha kwa wajasiriamali na asasi zinazotoa huduma ndogo za fedha.

Mtendaji mkuu Citi bank Tanzania joseph Carasso akizungumza. Mwingine ni wmenyekiti wa bodi ya Tamsi Joel Mwakitalu .

Mtendaji wa TAMFI Terry akielezea hafla ya uzinduzi wa tuzo 

Washiriki katika uzinduzi 



Hivyo makala CITI FOUUNDATION NA TAMFI WAZINDUA AWAMU YA TATU YA TUZO ZA WAJASIRIAMALI

yaani makala yote CITI FOUUNDATION NA TAMFI WAZINDUA AWAMU YA TATU YA TUZO ZA WAJASIRIAMALI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala CITI FOUUNDATION NA TAMFI WAZINDUA AWAMU YA TATU YA TUZO ZA WAJASIRIAMALI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/11/citi-fouundation-na-tamfi-wazindua.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "CITI FOUUNDATION NA TAMFI WAZINDUA AWAMU YA TATU YA TUZO ZA WAJASIRIAMALI"

Post a Comment