title : ABIRIA WANUSURIKA KIFO KUFUATIA KUPINDUKA KWA BASI LA KIMOTCO NDANI YA MTO
kiungo : ABIRIA WANUSURIKA KIFO KUFUATIA KUPINDUKA KWA BASI LA KIMOTCO NDANI YA MTO
ABIRIA WANUSURIKA KIFO KUFUATIA KUPINDUKA KWA BASI LA KIMOTCO NDANI YA MTO
Basi la Kampuni ya Kimotco (pichani) lililokuwa likitoka Musoma,kwenda Arusha kupitia Mugumu,limepinduka katika mto unaodaiwa kuwa na viboko ndani ya hifadhi ya Taifa ya Serengeti.
Mhifadhi Mkuu wa hifadhi hiyo William Mwakilema amethibitisha kupata taarifa ya tukio hilo leo Machi 16,na kusema kuwa katika ajali hiyo hakuna majeruhi wala vifo,na kuwa abiria wote wako juu ya basi.
Jitihada za kuwaokoa mmoja mmoja zinaendelea.Baada ya basi hilo kusombwa na maji abiria wote walitokea juu ya madilisha ya basi na kukaa juu yake,kwani halikuzama lote,jitihada za kuwaokoa zinaendelea mpaka sasa,ambapo zaidi ya abiria wanne wametolewa.
TAARIFA ZAIDI TUNASUBIRI KUTOKA MAMLAKA HUSIKA
Baadhi ya abiria wakiwa juu ya basi hilo mara baada kupinduka,wakiokolewa mmoja mmoja na Lori kama ionekavyo pichani
Basi likiwa limepundika kwenye mto ndani ya hifadhi ya serengeti.
Hivyo makala ABIRIA WANUSURIKA KIFO KUFUATIA KUPINDUKA KWA BASI LA KIMOTCO NDANI YA MTO
yaani makala yote ABIRIA WANUSURIKA KIFO KUFUATIA KUPINDUKA KWA BASI LA KIMOTCO NDANI YA MTO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala ABIRIA WANUSURIKA KIFO KUFUATIA KUPINDUKA KWA BASI LA KIMOTCO NDANI YA MTO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/03/abiria-wanusurika-kifo-kufuatia.html
0 Response to "ABIRIA WANUSURIKA KIFO KUFUATIA KUPINDUKA KWA BASI LA KIMOTCO NDANI YA MTO"
Post a Comment