Banda la Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali katika Maonyesho ya Wiki ya Sheria

Banda la Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali katika Maonyesho ya Wiki ya Sheria - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Banda la Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali katika Maonyesho ya Wiki ya Sheria, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Banda la Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali katika Maonyesho ya Wiki ya Sheria
kiungo : Banda la Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali katika Maonyesho ya Wiki ya Sheria

soma pia


Banda la Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali katika Maonyesho ya Wiki ya Sheria

Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali ni kati ya Taasisi inayoshiriki maonesho ya wiki ya Sheria yanayoendelea katika Viwanja vya Nyerere 'Suare' Jijini Dodoma. Wananchi mbalimbali wa rika tofauti wamefika katika Banda hili wakiwa na shinda mbalimbali au kupatiwa elimu kuhusu utendaji na majukumu ya Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali. Mbali ya Wananchi wapo viongozi ambao wamefika katika Banda la Ofisi ya Mwanasheria Mkuu. Viongozi hao ni pamoja na Mkemia Mkuu wa Serikali Dr. Fidelice Mafumiko.
Watoto hawa walikuwa sehemu ya wananchi waliotembelea Banda la Mwanasheria Mkuu wa Serikali. kutoka kushoto Christina, Christian ( darasa la 11 A) Catherine Mutambuzi ( darasa la 11A), Proscovia Christian ( darasa la V1B) na Prisca Christian (111A) wanaosoma shule la St. Ignatius ya Jijini Dodoma walimuuliza maswali mbalimbali Wakili wa Serikali Anna Mkongwa ambaye aliwajibu wa ufasaha maswali yao .
Wakili wa Serikali katika Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali Obadia Kajungu akitoa maelezo kuhusu majukumu ya Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali kwa Mkemia Mkuu wa Serikali Dr. Fidelice Mafuniko ( aliyevaa koti)wakati alipofika kwenye Banda la Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali. Mkemia Mkuu alifuatana na Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Sayansi ya Jinai na Huduma za Vinasaba Bw. David Elias.
Mwakilishi wa Mkazi wa Bank ya Dunia nchini Tanzania B.i Bella Bird akipata maelezo kutoka kwa Wakili wa Serikali Obadia Kajungu kuhusu Majukumu ya Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali wakati Bi Bird alipotembelea Banda la Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali katika Maonesho ya wiki ya sheria yanayoendelea katika viwanja vya Nyerere Square Dodoma wengine katika picha ni wanafunzi Godliver Adrian (Msalato) na Auxarus Chambulila ( Mzumbe) ambao wamepangiwa Banda la Mwanasheria Mkuu wa Serikali kama sehemu ya mafunzo yao. Wanafunzi hawa na wengine waliotembelea Banda hili wameonyesha nia yao ya kuwa wanasheria. Picha na Ofisi ya Mwanasheria Mkuu.


Hivyo makala Banda la Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali katika Maonyesho ya Wiki ya Sheria

yaani makala yote Banda la Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali katika Maonyesho ya Wiki ya Sheria Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Banda la Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali katika Maonyesho ya Wiki ya Sheria mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/02/banda-la-ofisi-ya-mwanasheria-mkuu-wa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Banda la Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali katika Maonyesho ya Wiki ya Sheria"

Post a Comment