title : SPIKA NDUGAI AFANYA MAZUNGUMZO NA MSTAAFU (MDAU WA MAENDELEO) JIJINI DODOMA
kiungo : SPIKA NDUGAI AFANYA MAZUNGUMZO NA MSTAAFU (MDAU WA MAENDELEO) JIJINI DODOMA
SPIKA NDUGAI AFANYA MAZUNGUMZO NA MSTAAFU (MDAU WA MAENDELEO) JIJINI DODOMA
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akimsikiliza Mstaafu (Mdau wa Maendeleo), Injinia, Rajabu Rukombe (katikati) wakati alipomtembela ofisini kwake kwa ajili ya kumgawia vitabu ambavyo Mhe. Spika pia atawapatia viongozi mbali mbali wa kitaifa, vitabu vyenye maudhui makuu matatau (3), ikiwemo kumpongeza Mhe. Rais Magufuli kwa kuonyesha jitihada na umuhimu wa uchumi wa viwanda pia tufanye nini kufikia lengo la viwanda kikao kilichofanyika leo tarehe 4 Februari, 2019 ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma. Kulia ni mwanae Injinia, Ndg. Rukombe Rukombe.
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akipokea vitabu kutoka kwa Mstaafu (Mdau wa Maendeleo), Injinia, Rajabu Rukombe (katikati) alipomtembela leo tarehe 4 Februari, 2019 ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma. Vyenye maudhui makuu matatau (3), ikiwemo kumpongeza Mhe. Rais Magufuli kwa kuonyesha jitihada na umuhimu wa uchumi wa viwanda pia tufanye nini kufikia lengo la viwanda, Kulia ni mwanae Injinia, Ndg. Rukombe Rukombe
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Mstaafu (Mdau wa Maendeleo), Injinia, Rajabu Rukombe (kushoto) alipomtembelea leo tarehe 4 Februari, 2019 ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma. Lengo likiwa ni kumgawia vitabu ambavyo Mhe. Spika pia atawapatia viongozi mbali mbali wa kitaifa, vyenye maudhui makuu matatau (3), ikiwemo kumpongeza Mhe. Rais Magufuli kwa kuonyesha jitihada na umuhimu wa uchumi wa viwanda pia tufanye nini kufikia lengo la Tanzania ya viwanda. Kulia ni mwanae Injinia, Ndg. Rukombe Rukombe
(PICHA NA OFISI YA BUNGE)
Hivyo makala SPIKA NDUGAI AFANYA MAZUNGUMZO NA MSTAAFU (MDAU WA MAENDELEO) JIJINI DODOMA
yaani makala yote SPIKA NDUGAI AFANYA MAZUNGUMZO NA MSTAAFU (MDAU WA MAENDELEO) JIJINI DODOMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala SPIKA NDUGAI AFANYA MAZUNGUMZO NA MSTAAFU (MDAU WA MAENDELEO) JIJINI DODOMA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/02/spika-ndugai-afanya-mazungumzo-na.html
0 Response to "SPIKA NDUGAI AFANYA MAZUNGUMZO NA MSTAAFU (MDAU WA MAENDELEO) JIJINI DODOMA"
Post a Comment