KITUO CHA AFYA IKWIRIRI CHAPOKEA MSAADA WA VIFAA TIBA

KITUO CHA AFYA IKWIRIRI CHAPOKEA MSAADA WA VIFAA TIBA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa KITUO CHA AFYA IKWIRIRI CHAPOKEA MSAADA WA VIFAA TIBA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : KITUO CHA AFYA IKWIRIRI CHAPOKEA MSAADA WA VIFAA TIBA
kiungo : KITUO CHA AFYA IKWIRIRI CHAPOKEA MSAADA WA VIFAA TIBA

soma pia


KITUO CHA AFYA IKWIRIRI CHAPOKEA MSAADA WA VIFAA TIBA

Kituo cha afya Ikwiriri Wilaya ya Rufiji Mkoani Pwani kinakabiliwa na changamoto ya upungufu wa dawa ambazo hupelekwa kidogo ikilinganishwa na idadi ya wagonjwa wanaohudumiwa katika kituo hicho huku tatizo la vifo vinavyotokana na uzazi vikiendelea kutokea katika kituo hicho.
Mganga mkuu wa kituo cha afya Ikwiriri, Yahya Mohamed ametoa taarifa hiyo baada ya kupokea msaada wa vifaa tiba mbalimbali ikiwemo dawa za kusaidia kina mama wakati wa kujifungua na baada ya kujifungua na vifaa vya upasuaji kwa kina mama wanaopata uzazi pingamizi kutoka katika kikundi cha maombi cha Our God is Good cha Jijini Dar Es Salaam.
Amesema kituo hicho kwa sasa kinahudumia idadi kubwa ya wagonjwa hasa wasiokuwa na uwezo hivyo wakati mwingine kulazimika kutoa huduma ya matibabu bure kwani hawawezi kumwacha mgonjwa apoteze maisha kwa sababu tu hana fedha za kulipia
Kwa upande wake mratibu wa zoezi hilo kutoka OGG Liku Madaki ameelezea kuwa  lengo la msaada huo ni kuutaka uongozi wa kituo hicho kuitumia kwa lengo lililokusudiwa ili kuokoa maisha ya wana Ikwiriri na Rufiji kwa ujumla,mbali na vifaa na dawa amesema wamepeleka zawadi mbalimbali kwa ajili ya wagonjwa:
Baadhi ya wagonjwa  kituoni hapo mbali na wakishukuru kwa msaada huo,ambapo pia wameiomba serikali kuboresha kituo hicho kwa kuhakikisha kinapata vifaa na dawa kulingana na idadi ya wagonjwa ili kuwapunguzia umbali wa kufuata huduma ya matibabu Utete ambako kuna hospitali ya wilaya.
 Baadhi ya Wadau wa Maendeleo kutoka katika kikundi cha maombi cha Our God is Good cha Jijini Dar Es Salaam,wakijadiliana jambo kala ya kuanza shughuli yao ya kukabidhi msaada waoo vifaa tiba na vitu vingine kwa kituo hicho cha Afya. 
 Baadhi ya Wadau wa Maendeleo kutoka katika kikundi cha maombi cha Our God is Good cha Jijini Dar Es Salaam,wakikabidhi msaada waoo vifaa tiba na vitu vingine kwa Uongozi wa kituo hicho cha Afya. 




Hivyo makala KITUO CHA AFYA IKWIRIRI CHAPOKEA MSAADA WA VIFAA TIBA

yaani makala yote KITUO CHA AFYA IKWIRIRI CHAPOKEA MSAADA WA VIFAA TIBA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala KITUO CHA AFYA IKWIRIRI CHAPOKEA MSAADA WA VIFAA TIBA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/02/kituo-cha-afya-ikwiriri-chapokea-msaada.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "KITUO CHA AFYA IKWIRIRI CHAPOKEA MSAADA WA VIFAA TIBA"

Post a Comment