Wote waliolima,kuchoma mkaa msitu malangali wakamatwe mara moja-RC Wangabo

Wote waliolima,kuchoma mkaa msitu malangali wakamatwe mara moja-RC Wangabo - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Wote waliolima,kuchoma mkaa msitu malangali wakamatwe mara moja-RC Wangabo, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Wote waliolima,kuchoma mkaa msitu malangali wakamatwe mara moja-RC Wangabo
kiungo : Wote waliolima,kuchoma mkaa msitu malangali wakamatwe mara moja-RC Wangabo

soma pia


Wote waliolima,kuchoma mkaa msitu malangali wakamatwe mara moja-RC Wangabo

Mkuu wa mkoa wa Rukwa Mh. Joachim Wangabo ameagiza kuwasaka na kuwakamata wananchi wote waliokiuka amri ya mahakama ya kutoutumia msitu wa hifadhi ya Malangali kwaajili ya matumizi ya kibinadamu.

Amesema kuwa pamoja na kukamtwa, wananchi hao wasimamiwe kuhakikisha kuwa wanapanda miti maeneo ambayo wameyaharibu na kusisitiza kusakwa kwa wale wote waaofanya shughuli za kibinadamu kando ya vyanzo vya maji huku akitaja bonde la mto lwiche.

“Mpite shamba kwa shamba, kamateni watu wote ambao wamevamia kule, ule msitu uache kama ulivyo, vyanzo vyetu vya maji vitakauka, Mkurugenzi fanya msako wa bonde lote hilo kwa wale wote ambao wameanza kufyeka na kulima, kamata. DC simamia hili, tunataka kukomesha uharibifu wa mazingira wa aina yoyote ile,” Alisisitiza.

Ametoa agizo hilo katika mkutano wa hadhara alioufanya baada ya kutembelea msitu huo wa malangali uliopo kata ya Malangali, Wlayani Sumbawanga na kujione namna wananchi hao walivyoharibu msitu huo uliojaa miti ya miombo ambayo inakatwa na kugeuzwa mkaa.

Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Mh. Joachim Wangabo akitoa agizo la kukamatwa kwa waliokiuka amri ya mahakama na kufanya shughuli za kibinadamu kwenye msitu wa Malangali Mjini Sumbawanga
Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Mh. Joachim Wangabo akitoa agizo la kukamatwa kwa waliokiuka amri ya mahakama na kufanya shughuli za kibinadamu kwenye msitu wa Malangali Mjini Sumbawanga katika Mkutano wa hadhara.


Mkurugenzi wa Manispaa ya Sumbawanga Hamid Njovu akiwasilisha taarifa ya msitu wa Malangali uliopo Sumbawanga Mjini Kwa Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Mh. Joachim Wangabo.



Hivyo makala Wote waliolima,kuchoma mkaa msitu malangali wakamatwe mara moja-RC Wangabo

yaani makala yote Wote waliolima,kuchoma mkaa msitu malangali wakamatwe mara moja-RC Wangabo Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Wote waliolima,kuchoma mkaa msitu malangali wakamatwe mara moja-RC Wangabo mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/02/wote-waliolimakuchoma-mkaa-msitu.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Wote waliolima,kuchoma mkaa msitu malangali wakamatwe mara moja-RC Wangabo"

Post a Comment