title : MNEC SALIM ASAS KULA SAHANI MOJA NA WATENDAJI WATAKAOKWAMISHA JUHUDI ZA RAIS
kiungo : MNEC SALIM ASAS KULA SAHANI MOJA NA WATENDAJI WATAKAOKWAMISHA JUHUDI ZA RAIS
MNEC SALIM ASAS KULA SAHANI MOJA NA WATENDAJI WATAKAOKWAMISHA JUHUDI ZA RAIS
MJUMBE wa Halmashauri kuu CCM Taifa (NEC )Salim Abri amesema kuwa CCM Mkoa wa Iringa itamshughulikia mtendaji yeyote wa Serikali atakayeonyesha dalili ya kukwamisha juhudi zinazofanywa na Rais wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania Dr. John Pombe Magufuli.
Kauli hiyo aliitoa mwishoni mwa mwiki alipokuwa akiongea na wananchma wa CCM Manispaa ya Iringa katika maadhimisho ya miaka 41 ya kuzaliwa kwa CCM ,alisema Mtu yeyote ndani ya serikali ya mkoa wa Iringa atakayeonyesha dalili za kuhujumu au kwa makusudi, serikali ya chama cha mapinduzi haita muacha na lazima itamshughulikia.

“Nasema hatuta kubali kuona mtu yeyote atakaye onyesha kukwamisha juhudi wakati rais na mwenyekiti wetu wa Taifa tutapambana nae,Rais amejitoa kwa wananchi wake alafu mtu atokee tu na kuvuruga utaratibu lazima haiwezekani na tutapambana nae”alisema MNEC
Alisema Wakuu wa Wilaya wanapaswa kuwaambia viongozi wao wa serikali kuwa kofia na nguo za kijani ndiyo wanaosimama kwenye majukwaa kuwatete wao,hivyo si haki CCM tubebe lawama kwa ajili ya hao watendaji wazembe wenye nia ovu kwa serikali ya kukwamisha maendeleo ili wengine wapande jukwaani wakitukane chama Tawala.
hivyo aliwataka viongozi wa chama hicho kujua majukumu yao ya kuhakikisha CCM inasimammia Serikali na si wengine wanasimama kutetea uozo wa watendaji hao ambao nia yako ni mbaya lakini kama watendaji wangejua thamani ya CCM basi ingekuwa vigumu kuwepo mtendaji wa serikali ambae ni mpinzani.
Abri ( ASAS ) aliongeza kuwa Ilani inataka yaale mambo yaliyaidiwa kwa wananchi yanatekelezwa kwakuwa wakati wa kuomba kura ni wanaCCM ndiyo waliosimama kuomba kura na si taasisi za serikali au Mkurugenzi wa Halmashauri,hivyo hatuna budi kuhakikisha Ciongozi wa CCM wanafuatilia utekelezaji wa Ilani kwani hata pale yasipotekelezwa wananchi halaumu chama tawala na si watendaji wa serikali.
Hivyo makala MNEC SALIM ASAS KULA SAHANI MOJA NA WATENDAJI WATAKAOKWAMISHA JUHUDI ZA RAIS
yaani makala yote MNEC SALIM ASAS KULA SAHANI MOJA NA WATENDAJI WATAKAOKWAMISHA JUHUDI ZA RAIS Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MNEC SALIM ASAS KULA SAHANI MOJA NA WATENDAJI WATAKAOKWAMISHA JUHUDI ZA RAIS mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/02/mnec-salim-asas-kula-sahani-moja-na.html
0 Response to "MNEC SALIM ASAS KULA SAHANI MOJA NA WATENDAJI WATAKAOKWAMISHA JUHUDI ZA RAIS"
Post a Comment