Kala Jeremiah Kumsaka Dkt Shika "Nitamtafuta kwaajili ya Kujifunza"

Kala Jeremiah Kumsaka Dkt Shika "Nitamtafuta kwaajili ya Kujifunza" - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Kala Jeremiah Kumsaka Dkt Shika "Nitamtafuta kwaajili ya Kujifunza", tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Kala Jeremiah Kumsaka Dkt Shika "Nitamtafuta kwaajili ya Kujifunza"
kiungo : Kala Jeremiah Kumsaka Dkt Shika "Nitamtafuta kwaajili ya Kujifunza"

soma pia


Kala Jeremiah Kumsaka Dkt Shika "Nitamtafuta kwaajili ya Kujifunza"

Kalan Jeremiah Kumsaka Dkt Shika "Nitamtafuta kwaajili ya Kujifunza"
Msanii wa muziki wa hip hop, Kala Jeremiah amedai atafanya jitihada za kumtafuta Dk Louis Shika ili apate madini kutoka kwa mzee huyo ambaye anadaiwa kuwa  ni msomi wa udaktari.

Akiongea na Bongo5 weekend hii, Kala alisema mzee huyo anaonekana kuwa ni msomi mkubwa na tayari ana mambo mengi amejifunza akiwa nje ya nchi alipokuwa alisoma na kufanya kazi enzi za ujana wake.

“Binafsi nitamtafuta kwaajili ya kujifunza, yule ni mzee mwenye mambo mengi, aliyopitia, ni mafunzo tosha kwa vijana kama mimi na wengine. Kwahiyo nitamtafuta ili nijifunze,” alisema Kala.

Kala alidai kwa kuwa nyimbo zake ni za kijamii zaidi, ataangalia uwezekano wa kumtumia katika baadhi ya project zake kama akipata nafasi.

Pia rapa huyo aliitaka serikali kumtumia mzee huyo katika Tanzania ya Viwanda kwa kuwa anaonekana ana mambo mengi ambayo anayafahamu.

Dk Louis Shika hivi karibuni aliingia kwenye headline baada ya kushindwa kutoa asilimia 25 ya mnada wa nyumba za Lugumi muda mchache baada ya kushinda mnada huo na kudai pesa zake zipo Urusi. 


Hivyo makala Kala Jeremiah Kumsaka Dkt Shika "Nitamtafuta kwaajili ya Kujifunza"

yaani makala yote Kala Jeremiah Kumsaka Dkt Shika "Nitamtafuta kwaajili ya Kujifunza" Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Kala Jeremiah Kumsaka Dkt Shika "Nitamtafuta kwaajili ya Kujifunza" mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/11/kala-jeremiah-kumsaka-dkt-shika.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Kala Jeremiah Kumsaka Dkt Shika "Nitamtafuta kwaajili ya Kujifunza""

Post a Comment